Simba isipomfunga Al Ahly kesho nitajiondoa rasmi hapa Jamiiforums

Simba isipomfunga Al Ahly kesho nitajiondoa rasmi hapa Jamiiforums

Hizi ahadi mnazo ziweka hamtimizi, kuna mpuuzi Tundaman kamuhaidi Priva 1m kama Yanga akipata droo kwa Mamelod.

Ila mtajifunza safari hii,kukomalia mechi zisizo wahusu mkahisahau mechi yenu.
 
Mwenyekiti wenu mstaafu alikuwa sahihi sana kwa kuwaita mbumbumbu.
 
Toa namba Simba akifungwa tuje tutatuaa hizo Linda.... Kujitoa jf huwez utarudi kutumia account zingine.
Mtu anasema anaacha kutumia jf wewe unakazana malinda.! Ndo kilichojaa kwenye ubongo wako bila shaka.
 
Mtu anasema anaacha kutumia jf wewe unakazana malinda.! Ndo kilichojaa kwenye ubongo wako bila shaka.
Kuacha jf ndio nn? Kama ana akaunti nyingine?, alete Linda lake tusakachee. Sio analeta upuuzi hapan.
 
Back
Top Bottom