demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Huwezi kuwa bingwa kila siku , acha lawama wewe
Mbona Bayern Munich ni Bingwa kila siku.
Kwamba Bundesliga ni ligi nyepesi sana kuliko Ligi ya Tanzani..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kuwa bingwa kila siku , acha lawama wewe
Bingwa kila siku vip? ina maaana toka bundesliga imeanza bingwa ni Bayern Munich tu?Mbona Bayern Munich ni Bingwa kila siku.
Kwamba Bundesliga ni ligi nyepesi sana kuliko Ligi ya Tanzani..?
Misemo mingine ni ya kufarijiana kwa wasiyo nacho kama Makolo mnavyo farijianabaada ya miaka minne kwenye ndoa hatimae mke kashika ujauzito mate mji mzima[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo lililopo pale ni yule bikidude wa MoNaamini hata Morrison alitumika kwa project ya eng Hersi.
Nadhani kuna kitu hakipo sawa kwa viongozi waliopo.
Bali ni level ya mafusoWewe chura unadhani simba ni level za kijinga kwa sasa?
Punguza hasira wewe Makolo na mjifunze sana kutoka kwa timu iliyombele yenu ki soka.Wewe sio shabiki wa simba nahisi, hayo ya kulalamika waachie wale utopwinyo.......hakuna team inayokuwa kwenye good form karne nzima otherwise uwe umeanza shabikia mpira Azam walipochukua kombe.