Simba itadhalilishwa hadi lini?

Baada ya hayo yote yeye mwenyewe MO kavuna kiasi gani kutoka Simba ?
 
Uswahili unatusumbua sana, simba ya miaka ile sio hii ya leo, mataji unayoona Kuna watu pesa zao zinatoka pale ww ukiulizwa umetoa ngp, holaaa so tuache hayo kama unaona unaibiwa vaa viatu vya unaodhan wanaokubia

Sent using Jamii Forums mobile app
umesoma uzi huu ukaelewa ? halafu aliyekudanganya kwamba MO anaigharamia Simba kwa hasara ni nani ?
 
Mnafiki mkubwa wewe
 
Kama wewe si utopolo basi utakuwa mwanga mkubwa sana.

Simba iko vizuri sasa hivi na hizo B.20 unataka ziwekwe wapi kama sio uwekezaji katika usajili,kuendesha timu,na kujenga miundo mbinu kama sehemu ya kufanyia mazoezi?
 
Akili za ZWAZWA hizi sina muda na WAPUMBAVU kama wewe.

Kama wewe si utopolo basi utakuwa mwanga mkubwa sana.

Simba iko vizuri sasa hivi na hizo B.20 unataka ziwekwe wapi kama sio uwekezaji katika usajili,kuendesha timu,na kujenga miundo mbinu kama sehemu ya kufanyia mazoezi?
 
Sio mo hapo ni TFF uwe unauliza
 
Pole ndugu yangu.
 
Kmenuka tena huko, nasikia babu Kagere kamtwanga Vitasa kocha Kishingo
π™½πšŠ πš”πš’πš–πšŽπš—πšžπš”πšŠ πšπšŽπš—πšŠ πšžπš”πš˜, πš—πšŠπšœπš’πš”πš’πšŠ πšŒπšŠπš•πš’πš—πš‘πš˜ πš”πšŠπšπš˜πš–πšŠ πš”πšžπšœπš‘πšŽπšŠ πšŒπš‘πšžπš–πš‹πšŠ πš”πš’πš–πš˜πš“πšŠ πš—πšŠ πšƒπš˜πš—πš˜πš–πš‹πšŽ, πšŠπš•πš’πš–πšžπš˜πš—πšŠ πšπš˜πš—πš˜πš–πš‹πšŽ πšŠπš—πšŠπš™πšŠπš”πšŠ πš™πšžπšπšžπš›πšžπšžπšž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…