π²ππππππ ππππππ πππππ π πππNaunga mkono hoja Mkuu huyo Dewji anataka kuitumia Simba kwa manufaa yake binafsi kisiasa pia kifedha aliahidi atatoa bilioni 20 lakini kauli zake kuhusu hiyo bilioni 20 hazieleweki. Halafu nasikia ana own 49% ya timu je ni nani aliyefanya hiyo tathmini ya timu? Je, hizo 49% za shares alizonunua kalipa kiasi gani? Tuliamshe ili hizo namba ziwekwe hadharani hawa wadosi si watu wa kuwaamini hata chembe Mkuu naona kuna kila dalili ya UTAPELI.
kama kuna utapeli mmetapeliwa nyinyi na GSM....nyinyi mbona GSM kachukua timu,imeshakuwa mali yake na mmeshindwa kumuuliza haya maswali??Naunga mkono hoja Mkuu huyo Dewji anataka kuitumia Simba kwa manufaa yake binafsi kisiasa pia kifedha aliahidi atatoa bilioni 20 lakini kauli zake kuhusu hiyo bilioni 20 hazieleweki. Halafu nasikia ana own 49% ya timu je ni nani aliyefanya hiyo tathmini ya timu? Je, hizo 49% za shares alizonunua kalipa kiasi gani? Tuliamshe ili hizo namba ziwekwe hadharani hawa wadosi si watu wa kuwaamini hata chembe Mkuu naona kuna kila dalili ya UTAPELI.
Sidhani ka Lego la timu ilikua kuona mashabiki au kuona kikosi kinaimarika vipiNi kweli kwamba kapuku hana thamani, lakini wakati mwingine umasikini tunajitakia tu , kwa umati wa wanachama na wapenzi wa simba nchi nzima timu hii haistahili kuitwa masikini, kama tutapata oganaiza mzuri mwenye ujuzi na mfia Simba, basi timu hii itaweza kujikimu na hivyo kuondokana na dhiki inayolazimika timu yetu kutumika hata kwenye mambo yasiyostahili kwa vile tu anayeitwa mwenye Simba yake anatumika.
Simba si timu ya kucheza bure , ambapo pamoja na kutangaza bure bado ikakosa watazamaji, hili ililofanyiwa timu ya simba ni aibu inayotufanya sisi wanasimba wengine tuinamishe vichwa chini kwa aibu, mara kadhaa nimejipambanua humu kupinga magumashi kwenye uendeshaji wa timu lakini nimeishia kubezwa na kutukanwa, bali sasa uvumilivu umefika kikomo, Simba irudishwe kwa wenyewe.
Mazoezi wanavaa jezi mpya za mechi..Mwamedi scWe nae Jambo dogo unatumia akili mingi Sana kuling'amua,kwanza hyo game ilikuwa ni sehem ya mazoezi tu ya Simba