Simba itadhalilishwa hadi lini?

Simba itadhalilishwa hadi lini?

Naunga mkono hoja Mkuu huyo Dewji anataka kuitumia Simba kwa manufaa yake binafsi kisiasa pia kifedha aliahidi atatoa bilioni 20 lakini kauli zake kuhusu hiyo bilioni 20 hazieleweki. Halafu nasikia ana own 49% ya timu je ni nani aliyefanya hiyo tathmini ya timu? Je, hizo 49% za shares alizonunua kalipa kiasi gani? Tuliamshe ili hizo namba ziwekwe hadharani hawa wadosi si watu wa kuwaamini hata chembe Mkuu naona kuna kila dalili ya UTAPELI.
𝙲𝚊𝚕𝚒𝚗𝚑𝚘 𝚔𝚊𝚝𝚒𝚔𝚊 𝚞𝚋𝚘𝚛𝚊 𝚠𝚊𝚔𝚎
 
kama kuna utapeli mmetapeliwa nyinyi na GSM....nyinyi mbona GSM kachukua timu,imeshakuwa mali yake na mmeshindwa kumuuliza haya maswali??
 
Yani Mtu yupo Kibada analima viazi Vitamu halafu eti anataka kumg'oa Dewj Simba 😂😂

Yani WaTZ kwa ujuaji!!! Sasa si kazinunue wewe tu hizo hisa 49% ili ulipe hizo 20B.

Yani mutalialia sana tu kuhusu Simba lakini Dewj haondoki pale Simba mpaka tuchukue makombe kwa Mara 10 mfululizo.
 
Ni kweli kwamba kapuku hana thamani, lakini wakati mwingine umasikini tunajitakia tu , kwa umati wa wanachama na wapenzi wa simba nchi nzima timu hii haistahili kuitwa masikini, kama tutapata oganaiza mzuri mwenye ujuzi na mfia Simba, basi timu hii itaweza kujikimu na hivyo kuondokana na dhiki inayolazimika timu yetu kutumika hata kwenye mambo yasiyostahili kwa vile tu anayeitwa mwenye Simba yake anatumika.

Simba si timu ya kucheza bure , ambapo pamoja na kutangaza bure bado ikakosa watazamaji, hili ililofanyiwa timu ya simba ni aibu inayotufanya sisi wanasimba wengine tuinamishe vichwa chini kwa aibu, mara kadhaa nimejipambanua humu kupinga magumashi kwenye uendeshaji wa timu lakini nimeishia kubezwa na kutukanwa, bali sasa uvumilivu umefika kikomo, Simba irudishwe kwa wenyewe.

Sidhani ka Lego la timu ilikua kuona mashabiki au kuona kikosi kinaimarika vipi
 
Back
Top Bottom