Weka hera yako uliwe kwa kusema Simba anashida na mimi naweka yangu kwa kusema Simba anapigwa gori 3 -0 kwenda mbeleUkiangalia ball possession?
Nani alishambuliwa sana?
Hiyo ya ga Yako mbona juzi hapa walishindwa kupata goli moja TU ili wamtoe Mwarabu Ili wasonge mbele?
Ndio nimesema kwamba tusiishi kwa kukalili.
Nadhani hujui historia vizuri,Simba aliwahi kumtoa Zamalek bingwa mtetezi wa club bingwa kwao .
Ishakuw tayari mkuu....Jiandae kula rahaNa ikawe hivyooo. 🙏🙏🙏
Ameeen.Ishakuw tayari mkuu....Jiandae kula raha
Punguza makasiriko.... Timu namba nne kwa Ubora Afrika lazima iwe na wachezaji wenye hadhi ya nafasi ya nafsi ya nne.....Kitendo cha simba kuwa number nne kwa ubora Afrika maana yake wachezaji wote ni Bora na wazuri... OVAHao wachezaji wazuri wako wapi.
Wanachezea timu gani.
Hiyo timu imefanya nini.
Wachezaji ni hawahawa braza...
Beyond quality hii ya akina mpanzu hawapo Afrika.
Walishaonwa, walishakwenda ulaya.
Hata huyo Mpanzu alihusishwa Rc Genk.
Nasisitiza wachezaji ni hawahawa akina Feisal..Ateba nk
Mnazidi kuhamisha magoli.. sasa mumeona kuwa kuna uwezekano mkubwa wa Simba Kuingia Fainali sio...?? Nasubiri mseme Berkane ni timu ya kawaida sana na dhaifu pindi mnyama atakapo nyakuwa Kombe la shirikisho..Bora wasiingie kuepuka kupata aibu kwenye fainali mbele ya Rs Berkane......maana inawezekana ikawa ni aibu kubwa kwa Taifa
Asante kwa kunijuza hili.Sahihi kabisa mkuu.
Kingine cha kuzingatia, nasikia jamaa wamepeleka game Durban kwa sababu kuna vishawishi vingi kule. Wachezaji walindwe sana kipindi chote watakapokuwa huko. Watapata muda wa kutosha kufanya starehe kipindi cha likizo baada ya kubeba makombe.
Hatuishii hapa!
Watachagua wenyewe kuishi hapo au kwenda kuaibika fainali,kama mnacheza kigoi goi vile sauzi,bora msitoboe maana kuna aibu itatokeaMnazidi kuhamisha magoli.. sasa mumeona kuwa kuna uwezekano mkubwa wa Simba Kuingia Fainali sio...?? Nasubiri mseme Berkane ni timu ya kawaida sana na dhaifu pindi mnyama atakapo nyakuwa Kombe la shirikisho..
Sina sababu ya kubahatisha .Weka hera yako uliwe kwa kusema Simba anashida na mimi naweka yangu kwa kusema Simba anapigwa gori 3 -0 kwenda mbele
Kweli kabisa Mkuu,uko sahihi kabisa .Hao wachezaji wazuri wako wapi.
Wanachezea timu gani.
Hiyo timu imefanya nini.
Wachezaji ni hawahawa braza...
Beyond quality hii ya akina mpanzu hawapo Afrika.
Walishaonwa, walishakwenda ulaya.
Hata huyo Mpanzu alihusishwa Rc Genk.
Nasisitiza wachezaji ni hawahawa akina Feisal..Ateba nk
Mambo yamebadilika Mkuu.Mnapovurunda ugenini na kusema 'watakuja kwa mkapa' hapo inakuwa kucheza nyumbani ndio kigezo Cha ushindi. Ila nyie mkienda nyumbani kwa wengine hicho kigezo kinakuwa aaah!
Umeandika vizuri kiasi lakini angalia wachezaji wa Yanga na Mamelody yanga wakicheza leo na Mamelody moto unawaka.Je hao walikua na wapo sokoni?
Je gharama yake Simba wangeiweza?
Na je nao walikua na utayari wa kuchezea Simba?
Je Simba tulikua na uwezo wa kushindana na ma Giant ambao pengine nao walikua wanawataka?
Mambo haya Yana Siri kubwa sana nyuma ya pazia.
Kumbuka usajili ni gharama ndio maana timu ndogo hua hazipati wachezaji wazuri.
Mfano timu kama kagera,Namungo,Tabora,JKT, Coastal,Azam,Pama, Singida,Mbeya city,Mtibwa n.k haziwezi kushindana usajili na Simba na Yanga hapa nyumbani.
Piq Simba na Yanga haziwezi kushindana usajili na timu kubwa za Afrika kama Al Ahly,Raja Casablanca,Waydad Casablanca,Esparence,Mamelody n.k.
Nazo hizo haziwezi kushindana usajili na timu kama Real Madrid, Barcelona,Arsenal, Liverpool, Juventus,Buyer liverkursen,Buyern Munich,n.k.
Kwa hiyo inawezekana Simba tunataka kuibebesha mzigo isioweza kuubeba kwa uchumi wake.
Hata hivyo bado nasisistiza hawahawa akina Ahoua ndio wameiingiza Simba nusu fainali baada ya miaka 30 na bado haijaisha mpaka iishe .
Nina uhakika Simba inaenda kufuzu.
Mkuu Hawa watu wamekua wakiitabiria Simba hii ya Fadlu kushindwa Kila siku lkn imekua ikiwaonesha maajqbu.Punguza makasiriko.... Timu namba nne kwa Ubora Afrika lazima iwe na wachezaji wenye hadhi ya nafasi ya nafsi ya nne.....Kitendo cha simba kuwa number nne kwa ubora Afrika maana yake wachezaji wote ni Bora na wazuri... OVA
Mambo yamebadilika Mkuu.
Hata wao wanaamini kwamba kwao watatutoa,lkn nakuhakikishia haitakua hivyo.
Uzuri Simba Ina akiba mikononi,droo yoyote tunasonga mbele,tukipata goli moja tutakua tumewapa mlima mkubwa wa kupanda na Simba anauwezo wa kupata magoli huko.
Viwango vya kiuchezaji vya Stellenbosch na Simba vinafanana,hivyo sioni Stellenbosch kuweza kumfunga Simba goli nyingi na Simba ana uwezo wa kupata goli.
Unaweza ukaona hivyo,lkn sio Kila Pesa ya azamu anqpeleka kwenye timu.Azam wana pesa Mingi sana lakini wanasajili hovyo mno.
Tunataka kuona Quality zile za Simba zinazoendana na Ubora No 4 Africa.
Kikosi cha Simba 2020 ni Bora kuliko hiki cha leo mala 100