Simba itaishia alama 3 tu ligi ya mabingwa Afrika

We shoga bado upo?
 
Vipi imeishia alama ngapi mkuu? acha ramli chonganishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafiki kazi kweli kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

 

Kumbe ulijuwa wazi kuwa Mpira mipango sio kelele! Sasa hizi kelele wewe ulikuwa unamfanyia nani?

Nyinyi endeleeni kujiita wa Kimataifa
 
Haya mchawi mwingine huyu hapa. Halafu kuna watu wanabisha duniani hakuna wachawi.
 
Vipi, nyota zilidanganya?
 
Umeshataga au jogoo lililokupitia halikuwa na mbegu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…