Simba itaishia alama 3 tu ligi ya mabingwa Afrika

Simba itaishia alama 3 tu ligi ya mabingwa Afrika

Mpira una maajabu,Dauda kabaki na aibu. Toka Simba imfanyie uhuni Nkana na mbwembwe za akina Kampamba,niliamini kwenye soka lolote linawezekana. Soura anaweza kufa kwao
Inawezekana.. Wachezaji wajitume zaidi, game za away zinatushinda Hata kupata sare tu
 
Simba anaweza akamfunga Js saoura Algeria endapo watacheza Mara 2 walivyocheza mechi ya Al Ahly taifa kucheza kitimu na kukimbia uwanja mzima...ila hata MO pia anachangia kwa ushindi wa Simba kwani kwani ule mkutano wake na waandishi wa habari kabla ya mechi ya Al Ahly na alivyosema kuwa Kuna wachezaji hawajitumi,tukaona wachezaji wote wamebadilika siku ya mechi kwaio Mikwara ya Mo na ahadi nono za MO kwa Simba zitasaidia kutupa ushindi Algeria JS saoura wazuri kiasi kwaio uwezo wa kukabiliana nao tunao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii game natamani tumlambe Saoura ili Dauda ajue soka sio vikopo. 😀😀
 
Hii game natamani tumlambe Saoura ili Dauda ajue soka sio vikopo. 😀😀
Uwezo tunao sema inatakiwa tuwaheshimu wapinzani wetu As Vita walifungwa kule Algeria nadhani matokeo Yale ya Kinshasa yaliwaathiri wakaingia kwa kupaniki,ila sisi tutaingia bila presha kwani tuna mechi Nyingine ya nyumbani ya kuamua,ila Js saoura wataingia kwa presha ya kutaka kumaliza game kwaio Kama tutakua tumejipanga vizuri kisaikolojia na kuliona ilo tukapoza mpira tukacheza kwa kurelax na kwa kushitukiza mechi nyepesi ila tukiingia kwa presha makosa binafsi yatatokea,na Mara nyingi makosa binafsi ndio yanayotugharimu timu za Tanzania...kwa mechi Kama hizi za away tunaitaji tuwe na DM mwingine Kama kotei ili tuwe nao watatu pamoja na mkude, mzamiru alitulostisha Sana mechi ya Congo Approach ya kujilinda ilikua nzuri ila baadhi ya viwango vilikua chini,inachotakiwa morali kuwa juu wachezaji kuwa zaidi ya asilimia miamoja ya viwango vyao,kutokabia kwa macho,kuacha kudhania Fulani atakaba,kupunguza makosa binafsi uwanjani,kuacha kucheza square pass na back pass,kutumia nafasi inapopatikana,kukimbia uwanja mzima wakiyafanyia kazi hayo ushindi upo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa... Unajua hakuna waarabu tuliowapiga kirahisi sana kama Js Saoura !! Mi naona wajitoe tu Mhanga huko Uarabiuni ili tuwe na uhakika wa kufuzu kundi Hili.

Kingine : kama Erasto yuko fiti kocha ampange mechi ya Stend ili ajiimalishe zaidi tayari kwa Vita hii ya CAF.. Hakuna asiyeijua kazi ya Nyoni akiwa Fiti.
 
Kabisa Yani erasto anaweza akacheza mbele kidogo ya Wawa na juko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom