Simba itaishia alama 3 tu ligi ya mabingwa Afrika

Simba itaishia alama 3 tu ligi ya mabingwa Afrika

Group hili ndilo Group gumu sana ktk mashindano ya mwaka huu ya Caf Champion league

MTC | 101| [emoji769]
japo mwanzo lilionekana jepesi mnoooooooooo

jsoura naye c haba
japo mwanzo alizembea mnooo

upande wa Simba
mechi alizobakiza Ni ngumu kiasi chake!

labda wachonge na Vita

waraabu wanatabia ya kuachiana
lakini,
itakuwa ngumu Al ahl kumuachia ushindi j soura coz akilegeza yeye ndiyo ataachwa

Ni kundi gumu sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As Vita lzm amfunge Al ahly ili awe safe ,mechi yake na Simba dar ni ngumu ni fainali itakua

Simba nae ili awe vzr alazimishe draw ,kifupi timu yote yote kwa kweli akayo lazimisha draw ugenini kwa mechi zilizobaki ana nafasi ya kusonga mbele

unadhani
game ya As Vita na Simba itakuaje?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba inabidi iombee Vital amfunge Al Ahyl au atoe sare dhidi ya Al Ahyl, maana nahisi endapo Al Ahyl atamfunga Vital atakuwa na point 10 na Js Saoura akishinda dhidi ya simba watafikisha point 8. Mechi ya mwisho waarabu wanakutana wenyewe kwa wenyewe ni rahisi sana kutengeneza fitna kwasababu Al Ahyl itakuwa ameshapita tayari, na JS Saoura watakuwa wanatafuta sare tu ili afikishe point 9. Simba hata akimfunga Vital watakuwa na 9 ila kwenye magoli ndiyo yatakayoamua na ikumbukwe Simba karuhusu magoli mengi. Na Vital nae akimfunga Simba atakuwa na point 7 tu hivyo hatokuwa na safari tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba hapaswi kuwaombea wenzie wapate matokeo ya Aina gani bila Yeye kushinda game zake.

Al Ahly sio rahisi kushinda Congo mbele ya Vita kama Ilivyo kwa Simba kushinda kwa Saoura.. Anachotakiwa kufanya Simba ni kupata japo droo au Asiruhusu magoli mengi ili Mechi ya Mwisho iwe Must win. Japo bado Inatakiwa Simba ashinde game ya Mwisho.

>> Ugumu kwa Simba upo Vita akishinda mechi ya Al Ahly na Simba Kupoteza kwa Saoura... Maana yake Vita atakuwa point 7 ,Saoura 8, Al Ahly atabaki na 7, Simba 6.
Game ya Mwisho na Vita Taifa itakuwa Vita kweli. Hata Al Ahly dhidi ya Saoura kitawaka balaa.
 
Simba hapaswi kuwaombea wenzie wapate matokeo ya Aina gani bila Yeye kushinda game zake.

Al Ahly sio rahisi kushinda Congo mbele ya Vita kama Ilivyo kwa Simba kushinda kwa Saoura.. Anachotakiwa kufanya Simba ni kupata japo droo au Asiruhusu magoli mengi ili Mechi ya Mwisho iwe Must win. Japo bado Inatakiwa Simba ashinde game ya Mwisho.

>> Ugumu kwa Simba upo Vita akishinda mechi ya Al Ahly na game ya mwiSimba Kupoteza kwa Saoura... Maana yake Vita atakuwa point 7 ,Saoura 8, Al Ahly atabaki na 7, Simba 6.
Game ya Mwisho na Vita Taifa utakuwa Vita kweli. Hata Al Ahly dhidi ya Saoura kitawaka balaa.
Nadhani hukunielewa hoja yangu. Ni hivi endapo Al Ahyl atamfunga Vital halafu Simba akafungwa na Saoura, kuna uwezekano mkubwa Al Ahyl na Saoura wakatengeneza matokeo kwavile waarabu wanakutana wao kwa wao na Al Ahyl atakuwa kaishapita kwa point 10, ina maana hata Simba akishinda dhidi ya Vital itakuwa kazi bure labda amfunge vital magoli ya kutosha. Matokeo mazuri kwa Simba kuelekea kupata ushindi kwenye mechi ya mwisho ni Vital atoe sare au amfunge Al Ahyl au Simba apate hata sare dhidi ya Saoura ndio atakuwa salama zaidi kwavile kati ya Al Ahyl na Saoura kila mmoja atapigania kupata ushindi kwenye mechi ya mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hukunielewa hoja yangu. Ni hivi endapo Al Ahyl atamfunga Vital halafu Simba akafungwa na Saoura, kuna uwezekano mkubwa Al Ahyl na Saoura wakatengeneza matokeo kwavile waarabu wanakutana wao kwa wao, ina maana hata Simba akishinda dhidi ya Vital itakuwa kazi bure labda amfunge vital magoli ya kutosha. Matokeo mazuri kwa Simba kuelekea kupata ushindi kwenye mechi ya mwisho ni Vital atoe sare au amfunge Al Ahyl au Simba apate hata sare dhidi ya Saoura ndio atakuwa salama zaidi kwavile kati ya Al Ahyl na Saoura kila mmoja atapigania kupata ushindi kwenye mechi ya mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa... Hili kundi balaa
 
Simba inabidi iombee Vital amfunge Al Ahyl au atoe sare dhidi ya Al Ahyl, maana nahisi endapo Al Ahyl atamfunga Vital atakuwa na point 10 na Js Saoura akishinda dhidi ya simba watafikisha point 8. Mechi ya mwisho waarabu wanakutana wenyewe kwa wenyewe ni rahisi sana kutengeneza fitna kwasababu Al Ahyl itakuwa ameshapita tayari, na JS Saoura watakuwa wanatafuta sare tu ili afikishe point 9. Simba hata akimfunga Vital watakuwa na 9 ila kwenye magoli ndiyo yatakayoamua na ikumbukwe Simba karuhusu magoli mengi. Na Vital nae akimfunga Simba atakuwa na point 7 tu hivyo hatokuwa na safari tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mawazo yako ni kwamba 100% Lazima Soura atashinda. Unaweza shangaa siku hiyo Simba anashinda na Vita ana draw kitu ambacho Simba ata qualify mojak kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe mpumbavuuuu upo?

Simba SC haina ubavu tena wa kupata point hata moja, hivyo basi itakuwa ya mwisho kwenye kundi lake na point 3 ilizozipata kwa Saoura!
Baada ya mechi zote , msimamo utakuwa kama ifuatavyo:
1 Al alhly (Egy)
2 Vita (DRC)
3 Saoura (Alg)
4 Simba (Tz)

Mpira ni mipango sio kelele, hapo mlipoishia panawatosha . Waachen wenye nguvu wapite!

Povu ni ruksa kwa wasiopenda ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
 
Naona mawazo yako ni kwamba 100% Lazima Soura atashinda. Unaweza shangaa siku hiyo Simba anashinda na Vita ana draw kitu ambacho Simba ata qualify mojak kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mpira chochote kinaweza tokea kwasababu mpira ni mchezo wa mbinu na kujituma kwa wachezaji hivyo yeyote atakayekuwa na mbinu nzuri na umakini anaweza pata matokeo. Kwahiyo hilo silo ajabu kwenye mpira, kama ilivyo kwa Vital kuifunga simba magoli matano lakini wameambulia point moja tu kati ya point sita vs Js Saoura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom