SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee Hii kitu Ukikubali , As Vita watacheza na akina Salamba+Dida+ pale Taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee Hii kitu Ukikubali , As Vita watacheza na akina Salamba+Dida+ pale Taifa
Simba anatangazwa kuingia robo kulekule Algeria. Anampiga Soura kimoja dwiii cha KagereMUNGU SAIDIA AS VITA APIGWE
Hahahaha, hiyo mechi ni ngumu na kundi hili ndio litatoa finalist km sio bingwaAisee Hii kitu Ukikubali , As Vita watacheza na akina Salamba+Dida+ pale Taifa
Mpira una maajabu,Dauda kabaki na aibu. Toka Simba imfanyie uhuni Nkana na mbwembwe za akina Kampamba,niliamini kwenye soka lolote linawezekana. Soura anaweza kufa kwaoAisee Hii kitu Ukikubali , As Vita watacheza na akina Salamba+Dida+ pale Taifa
Inawezekana.. Wachezaji wajitume zaidi, game za away zinatushinda Hata kupata sare tuMpira una maajabu,Dauda kabaki na aibu. Toka Simba imfanyie uhuni Nkana na mbwembwe za akina Kampamba,niliamini kwenye soka lolote linawezekana. Soura anaweza kufa kwao
Usipime.. Kama ile game ya Nkana ilikuwa motoHahahaha, hiyo mechi ni ngumu na kundi hili ndio litatoa finalist km sio bingwa
MTC | 101| [emoji769]
Usipime.. Kama ile game ya Nkana ilikuwa moto
Hakika.. Vita akimdunda Al Ahly game ya Mwisho Taifa nyasi zitaungua.Ila As Vita ( Ve klebu) hawatokuja km Nkana ,km watamfunga Al Ahly ,nawajua wakongomani vzr mno, sio teke teke wanapotaka lao
Na Simba nae si teke teke akitaka lake ,hatumwi mtoto dukani
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha,na hapo ndio tutaona burudaniHakika.. Vita akimdunda Al Ahly game ya Mwisho Taifa nyasi zitaungua.
Mbona shaffi ni mnyama lakini anaiponda sana simbaRuge mnyama wa Simba
R. I. P Ruge
Dauda ni mchambuzi.. Sema muda mwingine anabashiriMbona shaffi ni mnyama lakini anaiponda sana simba
Hii game natamani tumlambe Saoura ili Dauda ajue soka sio vikopo. 😀😀Simba anaweza akamfunga Js saoura Algeria endapo watacheza Mara 2 walivyocheza mechi ya Al Ahly taifa kucheza kitimu na kukimbia uwanja mzima...ila hata MO pia anachangia kwa ushindi wa Simba kwani kwani ule mkutano wake na waandishi wa habari kabla ya mechi ya Al Ahly na alivyosema kuwa Kuna wachezaji hawajitumi,tukaona wachezaji wote wamebadilika siku ya mechi kwaio Mikwara ya Mo na ahadi nono za MO kwa Simba zitasaidia kutupa ushindi Algeria JS saoura wazuri kiasi kwaio uwezo wa kukabiliana nao tunao
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo tunao sema inatakiwa tuwaheshimu wapinzani wetu As Vita walifungwa kule Algeria nadhani matokeo Yale ya Kinshasa yaliwaathiri wakaingia kwa kupaniki,ila sisi tutaingia bila presha kwani tuna mechi Nyingine ya nyumbani ya kuamua,ila Js saoura wataingia kwa presha ya kutaka kumaliza game kwaio Kama tutakua tumejipanga vizuri kisaikolojia na kuliona ilo tukapoza mpira tukacheza kwa kurelax na kwa kushitukiza mechi nyepesi ila tukiingia kwa presha makosa binafsi yatatokea,na Mara nyingi makosa binafsi ndio yanayotugharimu timu za Tanzania...kwa mechi Kama hizi za away tunaitaji tuwe na DM mwingine Kama kotei ili tuwe nao watatu pamoja na mkude, mzamiru alitulostisha Sana mechi ya Congo Approach ya kujilinda ilikua nzuri ila baadhi ya viwango vilikua chini,inachotakiwa morali kuwa juu wachezaji kuwa zaidi ya asilimia miamoja ya viwango vyao,kutokabia kwa macho,kuacha kudhania Fulani atakaba,kupunguza makosa binafsi uwanjani,kuacha kucheza square pass na back pass,kutumia nafasi inapopatikana,kukimbia uwanja mzima wakiyafanyia kazi hayo ushindi upoHii game natamani tumlambe Saoura ili Dauda ajue soka sio vikopo. 😀😀
Kabisa Yani erasto anaweza akacheza mbele kidogo ya Wawa na jukoKweli kabisa... Unajua hakuna waarabu tuliowapiga kirahisi sana kama Js Saoura !! Mi naona wajitoe tu Mhanga huko Uarabiuni ili tuwe na uhakika wa kufuzu kundi Hili.
Kingine : kama Erasto yuko fiti kocha ampange mechi ya Stend ili ajiimalishe zaidi tayari kwa Vita hii ya CAF.. Hakuna asiyeijua kazi ya Nyoni akiwa Fiti.