Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Geita hawajawahi kufungwa na Azam pale kwao, leo wakifungwa wanashuka daraja, leo wakisare wanashuka daraja, wana mambo mawili, wakubali kuisaidia Simba ifuzu nafasi ya 2 na kujinusuru wasishuke daraja au kushuka daraja na kuipa Azam nafasi ya 2.
Wakubali kushirikiana na mnyama ili wasishuke daraja leo, mchezo ni mgumu sana leo, Feitoto hatofunga goli leo ila kule Chamazi Aziz Ki atafunga tu.
Mnyama anashika nafasi ya 2 Leo, jioooooooooooooooni