Simba itatinga Robo final Yanga itaishia hatua ya makundi

Simba itatinga Robo final Yanga itaishia hatua ya makundi

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
392
Reaction score
798
Hifadhi huu uzi utakuja kuniambia. Ipo hivi:-

-Simba siku ya jumamosi tarehe 18/03/2023 atacheza na Horoya, Simba atashinda 3-1 na kutinga moja kwa moja robo fainal huku akiwa amebaki na mechi moja dhidi ya Raja Casablanca.

- Upande wa pili, Yanga siku ya Jumapili atajitupa dimbani dhidi ya Monestri ambapo mechi itaisha kwa draw ya 1-1. Yanga atakuwa amefikisha alama 8, Wakati huohuo TP Mazembe atashuka kukipiga na real bamako ambapo Tp Mazembe atashinda na kufikisha point 6.

- Mechi ya mwisho itapigwa pale Congo ambapo Yanga atakipiga na TP Mazembe ambapo yanga atapoteza kwa goli moja bila, hivyo TP Mazembe atakuwa amefikisha point 9 na kwaacha Yanga wakiwa nafasi ya tatu na point zao 8, hivyo Mazembe anatinga robo fainal kibabe kama hivyo.

Baada ya hapo:- haya yatakuwa baadhi ya maneno ya Mashabiki wa Yanga:-
1. Nabi hana mbinu za kucheza kimataifa
2.Aziz K ni mzigo
3. Gsm wanainyonya Yanga
4. Feisal angekwepo tusingetoka
5. Mabeki wetu ni wafupi.
6......
Na mengine mengi

Ushauri:

Mtakapo fikia hatua hii ndugu zangu wa Yanga mtulie, Roma haikujengwa kwa siku moja. Mpaka hapo mlipofika ni hatua kubwa sana. Nabi ni mwalimu mzuri sana, msimwache.. mpeni msimu mwingine tena kimataifa alafu mu mletee wachezaji wazuri alafu msubiri muone.
 
Baada ya hapo:- haya yatakuwa baadhi ya maneno ya Mashabiki wa Yanga:-
1. Nabi hana mbinu za kucheza kimataif
2.Aziz K ni mzig
3. Gsm wanainyonya Yang
4. Feisal angekwepo tusingetok
5. Mabeki wetu ni wafupi
6.....aaoa......


🤣🤣🤣🤣
 
Risiti
Screenshot_20230311-103040.jpg
 
Ninachkijua ni kwamba Smba na Yanga zote zitatinga Robo fainali huku wote wakishika nafasi ya pili kwenye makundi yao. Kisha zote zitatolewa Robo fainali.
Tunza kumbukumbu hii.
 
Ukiondoa ushabiki tuombeane kheri, timu zote zinawakilisha TAIFA la Tanzania
 
Yanga kutoboa hawezi subiri show inaanza next week. Monestri na Tp mazembe
 
Rage ana saikolojia kubwa sana, yaani aliona mbali kuwaita lile jina , Sasa nikwambie huu Uzi utatamani uufute
Wala hawezi kumshinda yule Kocha wa Boli Luc Eymael kwa maono, kuwaita Uto manyani, mambwa yanabweka hovyo tu, hii saikolojia ya hali ya juu kupata kutokea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom