Simba itatinga Robo final Yanga itaishia hatua ya makundi

Hifadhi huu uzi utakuja kuniambia. Ipo hivi:-

-Simba siku ya jumamosi tarehe 18/03/2023 atacheza na Horoya, Simba atashinda 3-1 na kutinga moja kwa moja robo fainal huku akiwa amebaki na mechi moja dhidi ya Raja Casablanca...
Tuombe uzima tutaufufua tena huu uzi inshaallah ili tujiridhishe.
 
Japokuwa tunazungumza kama mzaha ila ndicho kinachokwenda kutokea..
 
Jf kuna nyuzi zaidi ya Saba zimeanzishwa ndani ya siku tatu kuiponda simba!! Ila hii moja uto wamepagawa.
 
Kwa waliosoma Cuba mtakuwa mmeelewa hapa
 

Attachments

  • IMG_20230311_120937.jpg
    220.1 KB · Views: 5
  • IMG_20230311_120815.jpg
    228.9 KB · Views: 5
Huu uzi kuna mtu kau kopi na kubu edit
 
Jamaa akasema kabisa "hifadhi huu uzi."

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama vile kaongea ya maana.
 
Hahahahahaaaaaa sijui hata nacheka nini??puuuuuy puuuuy puuuuy mbwa weweeeeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…