Simba itatinga Robo final Yanga itaishia hatua ya makundi

Simba itatinga Robo final Yanga itaishia hatua ya makundi

Hifadhi huu uzi utakuja kuniambia. Ipo hivi:-

-Simba siku ya jumamosi tarehe 18/03/2023 atacheza na Horoya, Simba atashinda 3-1 na kutinga moja kwa moja robo fainal huku akiwa amebaki na mechi moja dhidi ya Raja Casablanca...
Tuombe uzima tutaufufua tena huu uzi inshaallah ili tujiridhishe.
 
Japokuwa tunazungumza kama mzaha ila ndicho kinachokwenda kutokea..
 
Jf kuna nyuzi zaidi ya Saba zimeanzishwa ndani ya siku tatu kuiponda simba!! Ila hii moja uto wamepagawa.
 
Kwa waliosoma Cuba mtakuwa mmeelewa hapa
 

Attachments

  • IMG_20230311_120937.jpg
    IMG_20230311_120937.jpg
    220.1 KB · Views: 5
  • IMG_20230311_120815.jpg
    IMG_20230311_120815.jpg
    228.9 KB · Views: 5
Hifadhi huu uzi utakuja kuniambia. Ipo hivi:-

-Simba siku ya jumamosi tarehe 18/03/2023 atacheza na Horoya, Simba atashinda 3-1 na kutinga moja kwa moja robo fainal huku akiwa amebaki na mechi moja dhidi ya Raja Casablanca.

- Upande wa pili, Yanga siku ya Jumapili atajitupa dimbani dhidi ya Monestri ambapo mechi itaisha kwa draw ya 1-1. Yanga atakuwa amefikisha alama 8, Wakati huohuo TP Mazembe atashuka kukipiga na real bamako ambapo Tp Mazembe atashinda na kufikisha point 6.

- Mechi ya mwisho itapigwa pale Congo ambapo Yanga atakipiga na TP Mazembe ambapo yanga atapoteza kwa goli moja bila, hivyo TP Mazembe atakuwa amefikisha point 9 na kwaacha Yanga wakiwa nafasi ya tatu na point zao 8, hivyo Mazembe anatinga robo fainal kibabe kama hivyo.

Baada ya hapo:- haya yatakuwa baadhi ya maneno ya Mashabiki wa Yanga:-
1. Nabi hana mbinu za kucheza kimataifa
2.Aziz K ni mzigo
3. Gsm wanainyonya Yanga
4. Feisal angekwepo tusingetoka
5. Mabeki wetu ni wafupi.
6......
Na mengine mengi

Ushauri:

Mtakapo fikia hatua hii ndugu zangu wa Yanga mtulie, Roma haikujengwa kwa siku moja. Mpaka hapo mlipofika ni hatua kubwa sana. Nabi ni mwalimu mzuri sana, msimwache.. mpeni msimu mwingine tena kimataifa alafu mu mletee wachezaji wazuri alafu msubiri muone.
Huu uzi kuna mtu kau kopi na kubu edit
 
Jamaa akasema kabisa "hifadhi huu uzi."

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama vile kaongea ya maana.
 
Hahahahahaaaaaa sijui hata nacheka nini??puuuuuy puuuuy puuuuy mbwa weweeeeeeh
 
Back
Top Bottom