Kwa sasa Kakolanya anajifunza kozi ya upishi, kakalia bench mpaka kasahau yeye ni golikipa.Nakumbuka Simba walisajili Makipa wengi. Kule walinotoka walikua na vipaji imara na walicheza kwa ustadi Mf Jeremiah Kisubi. Sasa kuendelea kukaa bench ni kuua carrier Yao. Wawaache baadhi wakasake timu zitakazowatumia.
Pia Kuna players wapo talented ila waalimu Hawana plan ya kuwatumia. Wawape uhuru tu!
Jana alikuwa anapika maboga pale taifa siyoKwa sasa Kakolanya anajifunza kozi ya upishi, kakalia bench mpaka kasahau yeye ni golikipa.
[emoji23][emoji23][emoji23]mmamae walai,,dah!!Jana alikuwa anapika maboga pale taifa siyo
Hawa jamaa hawaangalii mpira wanaibuka huko na stori za kusikia vijiweni[emoji23][emoji23][emoji23]mmamae walai,,dah!!
Ukiachana na hiyo juzi unakumbuka mara ya mwisho kucheza ilikuwa lini?Hawa jamaa hawaangalii mpira wanaibuka huko na stori za kusikia vijiweni
Wachezaji kama Dickson Ambundo ambaye amekua mshangiliaji wa mechi pale Yanga angekuwa yuko Simba ndio wamempiga kushoto hivyo. Daaaaah Media zingepasua spika kwa makelele ya kumtaka Ambundo aondoke. Akina Ndemla, Ame, Kaheza, Singano, Mlipili nk pia walikuwa wakipigiwa makelele oooooh waondoke wakacheze kwingine kukuza vipaji. Mwisho wa siku hollaaaa. Kwahiyo tuache ushabiki maandazi tuwaaache vijana wacheze mpira wanajua kile wanafanya.Nakumbuka Simba walisajili Makipa wengi. Kule walinotoka walikua na vipaji imara na walicheza kwa ustadi Mf Jeremiah Kisubi. Sasa kuendelea kukaa bench ni kuua carrier Yao. Wawaache baadhi wakasake timu zitakazowatumia.
Pia Kuna players wapo talented ila waalimu Hawana plan ya kuwatumia. Wawape uhuru tu!
Ndivyo walivyo mkuu na wachambuzi wao wa mchongo. Wala usisikitikeWachezaji kama Dickson Ambundo ambaye amekua mshangiliaji wa mechi pale Yanga angekuwa yuko Simba ndio wamempiga kushoto hivyo. Daaaaah Media zingepasua spika kwa makelele ya kumtaka Ambundo aondoke. Akina Ndemla, Ame, Kaheza, Singano, Mlipili nk pia walikuwa wakipigiwa makelele oooooh waondoke wakacheze kwingine kukuza vipaji. Mwisho wa siku hollaaaa. Kwahiyo tuache ushabiki maandazi tuwaaache vijana wacheze mpira wanajua kile wanafanya.
Hivi ambundo kwani alishaponaWachezaji kama Dickson Ambundo ambaye amekua mshangiliaji wa mechi pale Yanga angekuwa yuko Simba ndio wamempiga kushoto hivyo. Daaaaah Media zingepasua spika kwa makelele ya kumtaka Ambundo aondoke. Akina Ndemla, Ame, Kaheza, Singano, Mlipili nk pia walikuwa wakipigiwa makelele oooooh waondoke wakacheze kwingine kukuza vipaji. Mwisho wa siku hollaaaa. Kwahiyo tuache ushabiki maandazi tuwaaache vijana wacheze mpira wanajua kile wanafanya.
Kweli kabisa.Hawa jamaa hawaangalii mpira wanaibuka huko na stori za kusikia vijiweni
Kwani wamekatazwa kuhama Simba we mzee wa kikosi cha Kauka nikuvae?Nakumbuka Simba walisajili Makipa wengi. Kule walinotoka walikua na vipaji imara na walicheza kwa ustadi Mf Jeremiah Kisubi. Sasa kuendelea kukaa bench ni kuua carrier Yao. Wawaache baadhi wakasake timu zitakazowatumia.
Pia Kuna players wapo talented ila waalimu Hawana plan ya kuwatumia. Wawape uhuru tu!
Kabwili yule ni kitafunwaUtopolo wanakipa mmoja tu kumbe? Kabwili na johora ni wabeba viatu!