Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Nakumbuka Simba walisajili Makipa wengi. Kule walinotoka walikua na vipaji imara na walicheza kwa ustadi Mf Jeremiah Kisubi. Sasa kuendelea kukaa bench ni kuua carrier Yao. Wawaache baadhi wakasake timu zitakazowatumia.
Pia Kuna players wapo talented ila waalimu Hawana plan ya kuwatumia. Wawape uhuru tu!
Pia Kuna players wapo talented ila waalimu Hawana plan ya kuwatumia. Wawape uhuru tu!