Simba iwaombe Azam akina Dube, Kipre Junior, Sopu, Akaminko, Bajana kwenye hatua ya Robo Fainal Michuano ya CAF

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Simba inaruhusiwa kuongeza wachezaji kwenye hatua ya Robo Fainal, kupata wachezaji wazuri hatua hiyo ni ngumu sana kwa sababu timu zimekwishasajili wachezaji wazuri wote, Simba iliwahi kufanya hivyo ikajikuta inasajili akina Peter Maduhu na Mnigeria yule aliyewahi kuchezea Esperance.

Simba ina matatizo sana katika uchezaji, nawashauri kama sheria itaruhusu iwaombe Azam wawape kwa mkopo Prince Dube, Sospeter Bajana, Abdul Sopu, Kipre Junior na James Akaminko wawasaidie kwenye hatua ya robo fainal. Nakumbuka mwaka 1998 Yanga iliwaomba Simba akina Monja Liseki, Shaaban Ramadhan na Alphonce Modest na wakapewa.

Kama Simba itawapata hao, hakuna wa kuwazuia Afrika hii.

Huo ni ushauri wangu tu.
 
Mimi binafsi sijakuelewa labda ngoja waje wengine insha'Allah..
Thread Imeanzishwa Na Mpuuzi Mmoja Alitevimbiwa Maharage
Iwaombe Yaani Kama Chumvi Kwa Jirani
Hajui Simba Inajitosheleza Ndiyo Maana Imefika Ilipo
Lazima Katika Teams Zote Atapatikana Mshindi Mmoja Endapo Itatolewa Ni Sehemu Ya Mchezo

Hao Anaowasema Kwanini Hawakuifikisha Azam Hatua Aliyopo Simba Sasa?
 
Simba iliwasajili kapombe, Bocco, Wawa, Nyoni na Manula wakitokea Azam, wakat tunawasajili azam ilishindwa kuwatumia, wachezaji hao akina Dube wakiwa Simba watavuma sana kuliko azam
 
Simba inaruhusiwa kuongeza wachezaji kwenye hatua ya robo fainal, kupata wachezaji wazuri hatua hiyo ni ngumu sana kwa sababu timu zimekwishasajili wachezaji wazuri wote, Simba iliwah kufanya hivyo ikajikuta inasajili akina Peter maduhu na mnigeria yule aliyewahi kuchezea Esperance.

Simba ina matatizo sana ktk uchezaji, nawashauri kama sheria itaruhusu iwaombe azam wawape kwa mkopo Prince Dube, Sospeter Bajana, Abdul Sopu, kipre junior na James akaminko wawasaidie kwenye hatua ya robo fainal, nakumbuka mwaka 1998 yanga iliwaomba Simba akina Monja Liseki, Shaaban Ramadhan na Alphonce Modest na wakapewa.

Kama Simba itawapata hao, hakuna wa kuwazuia afrika hii

Huo ni ushauri wangu tu
Utakuwa ujinga mkubwa kudhani Dube ni bora kuliko Baleke na Phiri.
 
Simba iliwasajili kapombe, Bocco, Wawa, Nyoni na Manula wakitokea Azam, wakat tunawasajili azam ilishindwa kuwatumia, wachezaji hao akina Dube wakiwa Simba watavuma sana kuliko azam
Tulia Kwanza
Simba Ipo Hatua Kubwa Sana Hapa Africa Na Duniani
Sasa Hao Unaowataja Umeona Hawatumiki Azam Ama Nawe Umekuwa Jau
 
Simba inaruhusiwa kuongeza wachezaji kwenye hatua ya robo fainal, kupata wachezaji wazuri hatua hiyo ni ngumu sana kwa sababu timu zimekwishasajili wachezaji wazuri wote, Simba iliwah kufanya hivyo ikajikuta inasajili akina Peter maduhu na mnigeria yule aliyewahi kuchezea Esperance.

Simba ina matatizo sana ktk uchezaji, nawashauri kama sheria itaruhusu iwaombe azam wawape kwa mkopo Prince Dube, Sospeter Bajana, Abdul Sopu, kipre junior na James akaminko wawasaidie kwenye hatua ya robo fainal, nakumbuka mwaka 1998 yanga iliwaomba Simba akina Monja Liseki, Shaaban Ramadhan na Alphonce Modest na wakapewa.

Kama Simba itawapata hao, hakuna wa kuwazuia afrika hii

Huo ni ushauri wangu tu
Akuna cha kuazima hapo kila mmoja atakula alikopeleka mboga, nendeni na wachezaji wenu hao hao aliosajili mhindi wa bombay, mnajishtukia nini wakati mnayo timu bora iliyoshinda goli 7????
 
Inamaana unataka kusema kuna usajili mwingine tena kwwnye hatua ya robo fainali?
 
Simba inaruhusiwa kuongeza wachezaji kwenye hatua ya robo fainal, kupata wachezaji wazuri hatua hiyo ni ngumu sana kwa sababu timu zimekwishasajili wachezaji wazuri wote, Simba iliwah kufanya hivyo ikajikuta inasajili akina Peter maduhu na mnigeria yule aliyewahi kuchezea Esperance.

Simba ina matatizo sana ktk uchezaji, nawashauri kama sheria itaruhusu iwaombe azam wawape kwa mkopo Prince Dube, Sospeter Bajana, Abdul Sopu, kipre junior na James akaminko wawasaidie kwenye hatua ya robo fainal, nakumbuka mwaka 1998 yanga iliwaomba Simba akina Monja Liseki, Shaaban Ramadhan na Alphonce Modest na wakapewa.

Kama Simba itawapata hao, hakuna wa kuwazuia afrika hii

Huo ni ushauri wangu tu
Hapo ungeniambia Akaminko pekee, hao wengine hawana quality ya wachezaji wa simba
 
Simba iliwasajili kapombe, Bocco, Wawa, Nyoni na Manula wakitokea Azam, wakat tunawasajili azam ilishindwa kuwatumia, wachezaji hao akina Dube wakiwa Simba watavuma sana kuliko azam
Sureboy na mudathir kule azam walishindwa pia kuwika

Cheki Leo wako jangwani wanafanys makamuzi kinoma.

Prince dube akija Yanga au Simba atakuwa bonge la stereka
 
Wachezaji ambao wameshindwa kuwafunga Al Akhdar tena kwenye ndondo cup ya CAF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaaa nawee hapo.
 
Baada ya ushindi wa jana na kufuzu kuingia robo fainali, Simba sasa anasogea mpaka nafasi ya 8 kwenye viwango vya Caf, huku ndugu zetu pia wakijitahidi kusogea sogea kidogo walau mpaka nafasi ya 50 kwenye viwango vya Caf..
 
Back
Top Bottom