Simba iwaombe Azam akina Dube, Kipre Junior, Sopu, Akaminko, Bajana kwenye hatua ya Robo Fainal Michuano ya CAF

Hakuna forward wa Simba anayefikia angalau nusu ya uwezo wa Dube
Phiri ana goli 10, bocco anazo 9..dube ana goli 7..umetumia kigezo gani??au ndo kauli ya manara inafanya kazi kwa vitendo?huyo baleke kaja juzi tu ana goli 5 ushajiuliza angekuepo mwanzo wa msimu angekuwa na goli ngapi?
 
Baleke angekuwa mchezaji wa maana asingeachwa na Mazembe iliyojichokea
 
Simba hawana mshambuliaji mwenye kariba ya Dube, Ata Dube angekua na goli mmoja Kwa msimu huu Dube ni kitu kingine kabisa.
Yupo mobile muda wote na ana piga miguu yote na ana uwezo wa kucheza namba zote Tisa, Kumi na uwezo wa kushambulia kutokea pembeni.
Sasa mshambuliaji gani pale Simba mwenye uwezo uo?
 
Simba inaruhusiwa kuongeza wachezaji kwenye hatua ya Robo Fainal, kupata wachezaji wazuri hatua hiyo ni ngumu sana kwa sababu timu zimekwishasajili wachezaji wazuri wote, Simba iliwahi kufanya hivyo ikajikuta inasajili akina Peter Maduhu na Mnigeria yule aliyewahi kuchezea Esperance.

Simba ina matatizo sana katika uchezaji, nawashauri kama sheria itaruhusu iwaombe Azam wawape kwa mkopo Prince Dube, Sospeter Bajana, Abdul Sopu, Kipre Junior na James Akaminko wawasaidie kwenye hatua ya robo fainal. Nakumbuka mwaka 1998 Yanga iliwaomba Simba akina Monja Liseki, Shaaban Ramadhan na Alphonce Modest na wakapewa.

Kama Simba itawapata hao, hakuna wa kuwazuia Afrika hii.

Huo ni ushauri wangu tu.
Wakumbushe kuacha kuzunguka nyuma ya nyumba waende direct Kwa uongozi wa yanga wakamnunue Feitoto
 
Simba inaruhusiwa kuongeza wachezaji kwenye hatua ya Robo Fainal, kupata wachezaji wazuri hatua hiyo ni ngumu sana kwa sababu timu zimekwishasajili wachezaji wazuri wote, Simba iliwahi kufanya hivyo ikajikuta inasajili akina Peter Maduhu na Mnigeria yule aliyewahi kuchezea Esperance.

Simba ina matatizo sana katika uchezaji, nawashauri kama sheria itaruhusu iwaombe Azam wawape kwa mkopo Prince Dube, Sospeter Bajana, Abdul Sopu, Kipre Junior na James Akaminko wawasaidie kwenye hatua ya robo fainal. Nakumbuka mwaka 1998 Yanga iliwaomba Simba akina Monja Liseki, Shaaban Ramadhan na Alphonce Modest na wakapewa.

Kama Simba itawapata hao, hakuna wa kuwazuia Afrika hii.

Huo ni ushauri wangu tu.
Tatizo la afya ya akili ni kubwa kweli kweli !Ndugu ukiwa unapata chakula Bora (balance diet ),utajiuliza huyo akaminko ,dube na wengineo wameshindwa kuifanya team Yao icheze mashindano ya pili Kwa ubora wa vilabu afrika ,wakakusanywe wacheze robo fainali ya mashindano makubwa kabisa ya vilabu afrika da.Wapumbavu wanaongezeka Kwa Kasi.Tafuta Hela utakula mlo kamili utafikiri vizuri.
 
Simba inaruhusiwa kuongeza wachezaji kwenye hatua ya Robo Fainal, kupata wachezaji wazuri hatua hiyo ni ngumu sana kwa sababu timu zimekwishasajili wachezaji wazuri wote, Simba iliwahi kufanya hivyo ikajikuta inasajili akina Peter Maduhu na Mnigeria yule aliyewahi kuchezea Esperance.

Simba ina matatizo sana katika uchezaji, nawashauri kama sheria itaruhusu iwaombe Azam wawape kwa mkopo Prince Dube, Sospeter Bajana, Abdul Sopu, Kipre Junior na James Akaminko wawasaidie kwenye hatua ya robo fainal. Nakumbuka mwaka 1998 Yanga iliwaomba Simba akina Monja Liseki, Shaaban Ramadhan na Alphonce Modest na wakapewa.

Kama Simba itawapata hao, hakuna wa kuwazuia Afrika hii.

Huo ni ushauri wangu tu.
Unaonekana ni mtu mzima ila ulichoandika sasa,....wachezaji wa azam ni wa mechi ndogo brother hii michuano ya caf ni ya wanaume sio watoto
 
Mpira ni mchezo wa wazi, Msimu huu Azam ame mkanda Simba mara Moja na Sare Moja InaMaanisha Azam ni Bora kuliko Simba. Na Ili ku dhirisha ilo ningependa Azam na Simba Wakutane kwenye FA labda akili za mbumbumbu fc wasio jitambua wataelewa kwanini Azam ni Bora kuliko Simba.
Kitu pekee Simba anacho Simba anamzidi Azam ni chupri nje ya uwanja.
Mimi naamini Azam muda wowote katika msimu huu Akicheza na Simba atapata matokeo.
Azam inawachezaji wengi wazuri kuliko wa mbumbumbu fc uo ni ukweli usio na shaka yoyote.
 
Azam walishashiriki hayo mashindano itakuwa ngumu naamini bado viongozi wakiwa makini wanaweza kupata wachezaji bora
 
Simba hawana mshambuliaji mwenye kariba ya Dube, Ata Dube angekua na goli mmoja Kwa msimu huu Dube ni kitu kingine kabisa.
Yupo mobile muda wote na ana piga miguu yote na ana uwezo wa kucheza namba zote Tisa, Kumi na uwezo wa kushambulia kutokea pembeni.
Sasa mshambuliaji gani pale Simba mwenye uwezo uo?
Aliyeshindwa kuivusha azam yake ktk kuingia makundi kombe LA losers?? Mmevurugwa vibayaa nyiee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wao azam wana nini pamoja na kuwa na wachezaji hao, WAKATI AKILI ZINAGAWIWA MLIKUWA WAPI.
 
Simba hawana mshambuliaji mwenye kariba ya Dube, Ata Dube angekua na goli mmoja Kwa msimu huu Dube ni kitu kingine kabisa.
Yupo mobile muda wote na ana piga miguu yote na ana uwezo wa kucheza namba zote Tisa, Kumi na uwezo wa kushambulia kutokea pembeni.
Sasa mshambuliaji gani pale Simba mwenye uwezo uo?
Kwa kuwa huheshimu takwimu pale simba mshambuliaji huyo ni Barbara gonzalez na kauzwa caf huko.
 
Back
Top Bottom