Phiri ana goli 10, bocco anazo 9..dube ana goli 7..umetumia kigezo gani??au ndo kauli ya manara inafanya kazi kwa vitendo?huyo baleke kaja juzi tu ana goli 5 ushajiuliza angekuepo mwanzo wa msimu angekuwa na goli ngapi?Hakuna forward wa Simba anayefikia angalau nusu ya uwezo wa Dube
Wakumbushe kuacha kuzunguka nyuma ya nyumba waende direct Kwa uongozi wa yanga wakamnunue FeitotoSimba inaruhusiwa kuongeza wachezaji kwenye hatua ya Robo Fainal, kupata wachezaji wazuri hatua hiyo ni ngumu sana kwa sababu timu zimekwishasajili wachezaji wazuri wote, Simba iliwahi kufanya hivyo ikajikuta inasajili akina Peter Maduhu na Mnigeria yule aliyewahi kuchezea Esperance.
Simba ina matatizo sana katika uchezaji, nawashauri kama sheria itaruhusu iwaombe Azam wawape kwa mkopo Prince Dube, Sospeter Bajana, Abdul Sopu, Kipre Junior na James Akaminko wawasaidie kwenye hatua ya robo fainal. Nakumbuka mwaka 1998 Yanga iliwaomba Simba akina Monja Liseki, Shaaban Ramadhan na Alphonce Modest na wakapewa.
Kama Simba itawapata hao, hakuna wa kuwazuia Afrika hii.
Huo ni ushauri wangu tu.
Tatizo la afya ya akili ni kubwa kweli kweli !Ndugu ukiwa unapata chakula Bora (balance diet ),utajiuliza huyo akaminko ,dube na wengineo wameshindwa kuifanya team Yao icheze mashindano ya pili Kwa ubora wa vilabu afrika ,wakakusanywe wacheze robo fainali ya mashindano makubwa kabisa ya vilabu afrika da.Wapumbavu wanaongezeka Kwa Kasi.Tafuta Hela utakula mlo kamili utafikiri vizuri.Simba inaruhusiwa kuongeza wachezaji kwenye hatua ya Robo Fainal, kupata wachezaji wazuri hatua hiyo ni ngumu sana kwa sababu timu zimekwishasajili wachezaji wazuri wote, Simba iliwahi kufanya hivyo ikajikuta inasajili akina Peter Maduhu na Mnigeria yule aliyewahi kuchezea Esperance.
Simba ina matatizo sana katika uchezaji, nawashauri kama sheria itaruhusu iwaombe Azam wawape kwa mkopo Prince Dube, Sospeter Bajana, Abdul Sopu, Kipre Junior na James Akaminko wawasaidie kwenye hatua ya robo fainal. Nakumbuka mwaka 1998 Yanga iliwaomba Simba akina Monja Liseki, Shaaban Ramadhan na Alphonce Modest na wakapewa.
Kama Simba itawapata hao, hakuna wa kuwazuia Afrika hii.
Huo ni ushauri wangu tu.
Unaonekana ni mtu mzima ila ulichoandika sasa,....wachezaji wa azam ni wa mechi ndogo brother hii michuano ya caf ni ya wanaume sio watotoSimba inaruhusiwa kuongeza wachezaji kwenye hatua ya Robo Fainal, kupata wachezaji wazuri hatua hiyo ni ngumu sana kwa sababu timu zimekwishasajili wachezaji wazuri wote, Simba iliwahi kufanya hivyo ikajikuta inasajili akina Peter Maduhu na Mnigeria yule aliyewahi kuchezea Esperance.
Simba ina matatizo sana katika uchezaji, nawashauri kama sheria itaruhusu iwaombe Azam wawape kwa mkopo Prince Dube, Sospeter Bajana, Abdul Sopu, Kipre Junior na James Akaminko wawasaidie kwenye hatua ya robo fainal. Nakumbuka mwaka 1998 Yanga iliwaomba Simba akina Monja Liseki, Shaaban Ramadhan na Alphonce Modest na wakapewa.
Kama Simba itawapata hao, hakuna wa kuwazuia Afrika hii.
Huo ni ushauri wangu tu.
Aliyeshindwa kuivusha azam yake ktk kuingia makundi kombe LA losers?? Mmevurugwa vibayaa nyiee.Simba hawana mshambuliaji mwenye kariba ya Dube, Ata Dube angekua na goli mmoja Kwa msimu huu Dube ni kitu kingine kabisa.
Yupo mobile muda wote na ana piga miguu yote na ana uwezo wa kucheza namba zote Tisa, Kumi na uwezo wa kushambulia kutokea pembeni.
Sasa mshambuliaji gani pale Simba mwenye uwezo uo?
Kwa kuwa huheshimu takwimu pale simba mshambuliaji huyo ni Barbara gonzalez na kauzwa caf huko.Simba hawana mshambuliaji mwenye kariba ya Dube, Ata Dube angekua na goli mmoja Kwa msimu huu Dube ni kitu kingine kabisa.
Yupo mobile muda wote na ana piga miguu yote na ana uwezo wa kucheza namba zote Tisa, Kumi na uwezo wa kushambulia kutokea pembeni.
Sasa mshambuliaji gani pale Simba mwenye uwezo uo?