Simba iwe makini kwenye mikataba ya wachezaji msimu huu

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Simba iwe makini dirisha linalokuja la usajili na pia iwe makini kwa umafia watakaofanyiwa na TFF.

Vita kali inakuja kati ya TFF na Simba huku wakipewa backup na GSM.
Umafia uliotumika kumtoa Morison Yanga unaweza kutumiwa na Yanga wakisaidiwa na GSM. Sasa hivi kwa kitu kidogo tu hata kama ni haki ya Simba TFF itakuwa upande wa Yanga ( GSM ). Siri za Simba sasa hivi na mikataba inaweza kupenyezwa upande wa pili.

Kwahiyo dirisha dogo na msimu ujao Simba iwe makini isije ikawakosa wachezaji makini kwa uzembe wa mikataba.
 
Wahuni wote wapo Simba mpaka ndani ya tff kuna wahuni wa Simba.iyo vita tff itawatokea kwenye tundu zote za mwili.
Gusa unate.
 
Yaani kumbe na simba pia waliwahi kubebwa vile vile?

Basi zamu ya wengine ukiuwa kwa upanga nawe utadedi kwa upanga
 
Simba iwe makini dirisha linalokuja la usajili na pia iwe makini kwa umafia watakaofanyiwa na TFF.

Vita kali inakuja kati ya TFF na Simba huku wakipewa backup na GSM.
Umafia uliotumika kumtoa Morison Yanga unaweza kutumiwa na Yanga wakisaidiwa na GSM. Sasa hivi kwa kitu kidogo tu hata kama ni haki ya Simba TFF itakuwa upande wa Yanga ( GSM ). Siri za Simba sasa hivi na mikataba inaweza kupenyezwa upande wa pili.

Kwahiyo dirisha dogo na msimu ujao Simba iwe makini isije ikawakosa wachezaji makini kwa uzembe wa mikataba.
Hakuna mchezaji wa Simba anayeweza kupata namba ndani ya Yanga hii. Labda iwe hofu yako iko kwenye vitu vingine ila siyo usajili.
 
Wahuni wote wapo Simba mpaka ndani ya tff kuna wahuni wa Simba.iyo vita tff itawatokea kwenye tundu zote za mwili.
Gusa unate.
Mliambiwa mkikosa ubingwa tuulizwe sisi! Mbona hamkutuuliza?
 
Back
Top Bottom