Simba jiandaeni, furaha yenu Yanga Haitafurahi

Lee Van free

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2,833
Reaction score
8,777
Yanga wamenusurika Botswana,walipata goli la kusawazisha dakika za jioni kabisa,
Simba walishinda goli moja bila.
Kama kawaida ya Yanga yeye katika maisha yake anaioneaga wivu Simba tu,kwa hiyo Yanga ana kazi mbili Sasa hivi,kuhakikisha anacheza mechi ya Simba ya marudiano na Mighty Wanderers huku akicheza mechi yake na. Wa Botswana.
Simba ikifurahi Yanga haifurahi.
Ni mwendo wa husda TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…