Unaongelea lini maana mwaka jana mmechukua ubingwa kwa, mabao mengi, mbona unasahau mapema hivi.View attachment 710045View attachment 710046
Na huu ndio msimamo. Wametuzidi magoli kumi. Sisi tutakachofanya ni kutimiza wajibu wetu. Kila mechi ni kushinda tu. Halafu tukija kucheza na nyie tunajua Okwi au Kichuya hawawezi kutukosa hawa ila mnamjua vizuri Mkulima aliyekula mbegu Chirwaaaaaaa!! Na kijana wenu Ajib Migomba. Nyie lazima tuwatie presha kama mtachukua basi ni kwa mbinde sana tofauti na sisi tulivyokuwa tunatangaza ubingwa mechi tatu au nne kabla kumaliza.
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Epl ni man City au unamaanisha Vpl?Ni kweli, kwa hali ya mwenendo wa EPL ilipofikia hivi sasa, yoyote anaweza kuuchukua huo ubingwa
Ya, Simba mwaka huu inaonekana hivyo, na hiyo ndiyo hatari kwa mashabiki kama itatokea ndivyosivyo ubingwa wakiukosa tens msimu. Hapo ndipo tunaposema Dr. Mauki aanze sasa kuwaandaa mashabiki kwa kuanza na ManaraHuuu mwaka niwasimba
Epl ni man City au unamaanisha Vpl?
Ukiacha mwaka jana nitajie msimu mwingine tuliochukua ubingwa kwa tofauti ya magoli katika miaka kumi hiiUnaongelea lini maana mwaka jana mmechukua ubingwa kwa, mabao mengi, mbona unasahau mapema hivi.