kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Mpira unadunda unaweza kudundia popote kuelekea kokote. Simba mwaka huu iko vizuri kila idara na kuwaaminisha wanachama na mashabiki wao kuwa safari hii ni zamu yao kiasi kwamba hakuna tena anayefikiria kuukosa ubingwa.
Itakuaje kama Na mwaka huu mambo yakaenda ndivyo sivyo tena? Wako watu wanaoweza kupoteza maisha. Inambidi Dr. Mauki aanze sasa kuwanasihi wapenzi wa Simba ili kuweza kupokea matokeo ya aina zote.
Itakuaje kama Na mwaka huu mambo yakaenda ndivyo sivyo tena? Wako watu wanaoweza kupoteza maisha. Inambidi Dr. Mauki aanze sasa kuwanasihi wapenzi wa Simba ili kuweza kupokea matokeo ya aina zote.