THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Mashabiki wa simba wanasema mpira unamaajabu sikatai ni ukweli na maajabu ndio kitu yanafanya mpira upendwe.
Ila sio kama mashabiki wa simba munavyoamini kua maajabu yapo mda wowote hapana.Maajabu kutokea hua ni nadra sana na ndio maana yakaitwa maajabu.
Sa nahisi wengi mnafatilia hii match ya aseno na City saiv na mmeona nguvu ya uwanja wa nyumbani sa Simba jiandaeni.