GE2025 Simba Jike Rithe: ACT tunataka kufanya mabadiliko ya nchi hii, na si kwa kubembeleza. Na vita hii hatuikimbii

GE2025 Simba Jike Rithe: ACT tunataka kufanya mabadiliko ya nchi hii, na si kwa kubembeleza. Na vita hii hatuikimbii

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Act Wazalendo tunataka kufanya mabadiliko ya nchi hii na mabadiliko ya nchi hii atuwezi kuyafanya kwa kuyabembeleza, wameshanogewa wameshakolea na wanaona wanaweza kufanya chochote, natunasema hatuikimbii hii vita na muhuni hasusiwi Simba Jike Rithe ameyasema hayo Tabora

 
Tuliwaambia bila reforms hamna kitakacho endelea wakatuona hamna nazo
 
Bila reforms utafanya nini zaidi ya kulialia tu kuibiwa kura?
 
Back
Top Bottom