Simba jipangeni, ngao ya hisani na Singida UTD kuna mchezo mchafu unachezwa ili mfungwe na kuanza mgogoro

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Njia pekee ya kuiondoa Simba kwenye mstari, Simba hii ambayo nna uhakika tukiwa wamoja hakuna, nasema hakuna, narudia hakuna wa kutoa sare nayo ni kuwagombanisha wenyewe kwa wenyewe ilk wenye timu mbovu wabebe ubingwa.

Kuna mchezo mchafu umeanza kuelekea kwenye mechi yetu dhidi ya Singida, mipango imesukwa ya kutosha, utopolo wamo, Singida wamo na wanazi wachache marafiki zake Nondo ili Singida watufanye kitu kibaya na hatimaye vurugu zianze ndani ya timu yetu.

Simba msipuuze taarifa zetu, sisi wengine tunapenda furaha t ili tuwatukane wenzetu mitaani, kwenye mchezo wetu wa kombe la azam kule mtwara mliwapa vijana kazi lakini hawakuiweza, walamba ice cream walitumia waganga wa utopolo wakatumaliza, mchezo mzima niliushuhudia pale mtwara lkn kila tukiwaambia mkatupuuza, ile gemu tulitaka wenyewe maana walamba ice cream waliweka kambi pale nangwanda sijaona wiki 2 nzima.

Sasa nawajulisha mkwakwani inaweza isiwe salama kwetu, kuna njama za kuhakikisha tunafungwa ili ionekane usajili wetu ni wa mchongo, chondo chonde nawaomba viongozi walindeni wachezaji wetu na mambo ya kishirikina.Mtakuja kunishukuru.
 
Tayari mshaingiwa na uoga. Mimi nataka muwafunge hao Singida Fountain Gate, halafu mkutane na Azam au Yanga kwenye fainali. Maana kati ya hizi timu mbili, hakuna yenye unafuu kwenu.
Kibu D yupo hajapewa 'Thank you' na Mdaka mishale wenu naye bado yupo. Baada ya kumsingizia Yannick kuuza game, jiandaeni kumsingizia mwingine, this time kama hatakuwa Bacca basi atakuwa Gift.
 
Raha ya ngao ya hisani pale mkwakwani tuombe simba apigwe na yanga apigwe ili next day mashabiki wa hizi timu warudi makwao ili tff ijute kwanini ilipeleka Tanga
 
Kwanza ungetueleza huwo mchezo mfachu ni upi vinginevyo huu uzi fake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…