Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mgunda ana weledi.Hamna kocha humo
Mifumo ni kumiliki hisa na siyo kuchangia!!!Tuchangie team zetuu...zijiendesheee.....hii aibuu sasaa
Na cheo chake kipya ni Mkurugenzi wa Ufundi wa timu zote,
Bado Kuna shida ya kusaidia pale kwenye Benchi la ufundi.Na cheo chake kipya ni Mkurugenzi wa Ufundi wa timu zote,
Hapo napo vipi learned brother?
Vipi na kuhusu Matola! Alikuwa anatusaidia sana kwenye upande wa ufundiMgunda ana weledi.
Inakuwaje simba mnapata ushindi, halafu hamna furaha?Kiburi si maungwana!!