Simba kaiheshimisha Tanganyika mbele ya dunia: Wachambuzi uchwara karibuni mtoe nyongo zenu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Maadui wa mnyama SIMBA hasa baadhi ya wanayanga wasiojitambua waliomba dua zote SIMBA ifungwe
Wakafanya kila aina ya fitina mpaka majungu na masufuria bila kusahau ulozi.

Mpira una matokeo matatu
  • Kufunga
  • Kufungwa
  • Suluhu

  • Asanteni sana wachezaji wote
  • Asanteni sana makocha wote
  • Asanteni sana viongozi wote
  • Asanteni sana wanasimba wote
  • Asanteni wote wenye mapenzi mema na SIMBA, marafiki na jamaa pia

Asanteni maadui.. Sijui m hali gani saa huko mliko.. Naona mmeamua kujifariji na chambuzi za kindezi.. Nawasihi msiache .. Sisi letu limeshatimia

Gooooood night Tanganyika[emoji173][emoji173][emoji173][emoji419][emoji375]

 
Aggregate 2-2
I see a narrow opening for next stages
 
Je tutatoboa huko ughaibuni?
 
Niliwaombea mpate 2:1 hilo la 2 kwa Al mmejitakia...hongereni watani
 
Kongole zao, vijana wameonyesha jitihada ya halo ya juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…