Simba kaiheshimisha Tanganyika mbele ya dunia: Wachambuzi uchwara karibuni mtoe nyongo zenu

Ila kiukweli lile bao la pili kwa Al-Ahly ametuponza Baleke kwa zile movement za ukorofi.
 
Kule masri simba atapigwa mkono. Na ndiyo utakuwa mwisho wa "congratulations to my players" congratulations to everiwani, my pleyas, thei pleid veri weli , but this is football, you know. I say congratulations again. Thank you!
 
Tulisha waonya Ahly sio daraja lenu mkawa mnaongea vitu visivyo na mashiko, leo mnapongezana kwa kupata sare.
Yaani leo ndio akili zimerudi[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
mkuu hata we huwa unaiombea mabaya timu ile pinzani wako. so, usiwalaumu. hivi mechi ya marudio mnacheza lini?
 
Kufa kiume ndo hua ushindi wenu, acheni kuja kujifariji hapa, mjiandae kula Hamza cairo.
Hizo hamsa ndizo mtakazopigwa nyie kwa mkapa kama wachezaji wenyewe ndo hao akina Nzengeli [emoji23][emoji23]
 
Mo aka Mwamedi janja janja chupri chupri katoa billion.
 
Kuna vichambuzi uchwara Kila siku vinaiponda Simba, timu wanayoiponda Jana imewaletea magwiji wa soka duniani.
 
Msiwe mnabadilika
 
Nafikiri Bakita waje na maana nyingine ya neno "kuheshimisha" . Vinginevyo wajinga wanaendelea kuharbu lugha yetu adhimu!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…