TANZANIA NCHIYANGU
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 633
- 805
Wewe Yanga furaha yako ni niniManara ndio anapochukuaga credit kwa Mambumbumbu kama nyie mliojaa hapo Mikia,yaani wewe furaha yako ni kuifunga Team ya Wananchi tuu na sio Ubingwa?
Kuchukua ubingwa. Mengine naksi tuWewe Yanga furaha yako ni nini
Sawa sisi malengo yetu na ndoto zetu nikuchukua ubingwa wa africa so kila mtu apambane na ndoto zakeKuchukua ubingwa. Mengine naksi tu
Huwezi kuwa bingwa wa Africa kabla ya kuwa bingwa wa nchi yako.Sawa sisi malengo yetu na ndoto zetu nikuchukua ubingwa wa africa so kila mtu apambane na ndoto zake
Huko kwenye ubingwa wa nchi tumeshapita sahivi tupo 16 bora tunatafuta ubingwa wa africa...ndo mana nimekwambia nyi endeleeni kutafuta ubingwa wa Tanzania sisi tunatafuta ubingwa wa africa...hapo nini kisichoelewekaHuwezi kuwa bingwa wa Africa kabla ya kuwa bingwa wa nchi yako.
Aliyewaita mambumbumbu hakukosea kbsaHuko kwenye ubingwa wa nchi tumeshapita sahivi tupo 16 bora tunatafuta ubingwa wa africa...ndo mana nimekwambia nyi endeleeni kutafuta ubingwa wa Tanzania sisi tunatafuta ubingwa wa africa...hapo nini kisichoeleweka
Sawa sisi ni mambumbumbu na tupo 16 bora ligi kubwa zaidi africa...nyi msio ma mbumbumbu sjui mpo wapi
La sasa lipo wazi, mwakani?Huko kwenye ubingwa wa nchi tumeshapita sahivi tupo 16 bora tunatafuta ubingwa wa africa...ndo mana nimekwambia nyi endeleeni kutafuta ubingwa wa Tanzania sisi tunatafuta ubingwa wa africa...hapo nini kisichoeleweka
saa moja leo droo inachezeshwa angalia wawakilishi wa nchi watapangiwa na timu ganiLa sasa lipo wazi, mwakani?
Bila kukosa wengine tuujue upande wetu mapema.saa moja leo droo inachezeshwa angalia wawakilishi wa nchi watapangiwa na timu gani
Sawa mkuu na yanga sjui watapangwa kundi gani...nasikia wamefuzu hatua ya 16 bora magroup ya whatsapp africaππππππBila kukosa wengine tuujue upande wetu mapema.
Subiri ratiba yake Kiongozi.Sawa mkuu na yanga sjui watapangwa kundi gani...nasikia wamefuzu hatua ya 16 bora magroup ya whatsapp africaππππππ
Ndo mmefuzu nao kwenye Group moja la whatsapp ligi ya mabingwa wa ndondocup africa????πππππππ...droo ishachezeshwa????Subiri ratiba yake Kiongozi.
Tunaomba tuwe kundi moja na Mashujaa, Mbao na Green Eagles.
Draw ipo mwishoni mwezi wa pili. Weka kumbukumbu ya hizo tarehe. Kutakuwa na tukio muhimu sanaNdo mmefuzu nao kwenye Group moja la whatsapp ligi ya mabingwa wa ndondocup africa????πππππππ...droo ishachezeshwa????
Droo ya ndondo cup africa kuingia hatua ya makundi ndo mwezi wa pili????hahaaaahDraw ipo mwishoni mwezi wa pili. Weka kumbukumbu ya hizo tarehe. Kutakuwa na tukio muhimu sana
Mkuu, usiwe na haraka. Utapata jibu wakati huo sio mbali.Droo ya ndondo cup africa kuingia hatua ya makundi ndo mwezi wa pili????hahaaaah
Sawa wazee wa ndondoMkuu, usiwe na haraka. Utapata jibu wakati huo sio mbali.
Mwaka huu tu Yanga imepumzika International games. Mwakani tupo kama kawaida. Huku Yanga, kule Azam.Sawa wazee wa ndondo
Sio imepumzika imepumzishwa...mwakani watakaowakilisha nchi bado hawajapatikana ligi ikiisha ndo watapatikana...kama we unavyotabiri kuwa watakaowakilisha nchi ni Yanga na Azam na mimi natabiri Prison na Mbao kuiwakilisha nchiπππππMwaka huu tu Yanga imepumzika International games. Mwakani tupo kama kawaida. Huku Yanga, kule Azam.