SIMBA KAMA BORA KIJITOA MAPINDUZI KULIKO KUCHEZESHA WALEVI

SIMBA KAMA BORA KIJITOA MAPINDUZI KULIKO KUCHEZESHA WALEVI

Huwezi kuwa bingwa wa Africa kabla ya kuwa bingwa wa nchi yako.
Huko kwenye ubingwa wa nchi tumeshapita sahivi tupo 16 bora tunatafuta ubingwa wa africa...ndo mana nimekwambia nyi endeleeni kutafuta ubingwa wa Tanzania sisi tunatafuta ubingwa wa africa...hapo nini kisichoeleweka
 
La sasa lipo wazi, mwakani?
 
Sawa mkuu na yanga sjui watapangwa kundi gani...nasikia wamefuzu hatua ya 16 bora magroup ya whatsapp africa😂😂😂😂😂😂
Subiri ratiba yake Kiongozi.
Tunaomba tuwe kundi moja na Mashujaa, Mbao na Green Eagles.
 
Subiri ratiba yake Kiongozi.
Tunaomba tuwe kundi moja na Mashujaa, Mbao na Green Eagles.
Ndo mmefuzu nao kwenye Group moja la whatsapp ligi ya mabingwa wa ndondocup africa????😂😂😂😂😂😂😂...droo ishachezeshwa????
 
Ndo mmefuzu nao kwenye Group moja la whatsapp ligi ya mabingwa wa ndondocup africa????😂😂😂😂😂😂😂...droo ishachezeshwa????
Draw ipo mwishoni mwezi wa pili. Weka kumbukumbu ya hizo tarehe. Kutakuwa na tukio muhimu sana
 
Mwaka huu tu Yanga imepumzika International games. Mwakani tupo kama kawaida. Huku Yanga, kule Azam.
Sio imepumzika imepumzishwa...mwakani watakaowakilisha nchi bado hawajapatikana ligi ikiisha ndo watapatikana...kama we unavyotabiri kuwa watakaowakilisha nchi ni Yanga na Azam na mimi natabiri Prison na Mbao kuiwakilisha nchi😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom