Simba kama kufunga itafunga Swaumu au kushinda, Ishinde Njaa. Ikijitahidi leo ni draw

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Naendelea vyema na tabiri zangu na kuna watua mbao wananipigia kunishukuru kutokana na kufanikiwa katika kile ninachowapatia . nina ilimu ya Nyota hii nilijifunza kitambo kidogo. mara nyingi huitumia katika mambo yangu mbalimbali.

kinyota leo ni siku mbaya sana kwa Simba. na sioni kama kuna ushindi kwa sababu mbali na nyota pia hili litimu kwa kweli ni libovu sana. limezubaa na ni kama limechoka kabla hata ya safari. leo litapata kipigo ila likijitahidi ni kutoa draw. hili ni jamno ambalo nimeona niwajulishe.

wanayanga jana niliwaambia ilikuwa tushinde 2-1 lakini kuna makosa ambayo tuliyafanya nikasema draw itawezekana na ilitokea kama ambavyo nilisema. leo tena nasema hali hii. msisite kuja nipongeza mpira ukiisha na wale mnaotaka kunitumia pesa ya shukrani kutokana na ku bet kwenu hapana hiyo kwangu ni dhambi imani hairuhusu ku bet. na kile ninachofanya si shirki maana kuna mtu aliniambia kuwa sheikh/mualim wangu huoni kama haya unayofanya ni shirki. hapana si shirki hii ni ilm kama ilm nyinginezo hapa duniyani.

As-salamu alaykum
 
MWAKA 1961 BABA WA TAIFA ALIPATA KUTAJA MAADUI WAKUU WA TATU QA TAIFA AKISWEMA.

1. UMASIKINI
2.UJINGA NA
3.MARADHI.

MWALIMU NYERERE ALISEMA MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA
 
Naendelea vyema na tabiri zangu na kuna watua mbao wananipigia kunishukuru kutokana na kufanikiwa katika kile ninachowapatia . nina ilimu ya Nyota hii nilijifunza kitambo kidogo. mara nyingi huitumia katika mambo yangu mbalimbali.

kinyota leo ni siku mbaya sana kwa Simba. na sioni kama kuna ushindi kwa sababu mbali na nyota pia hili litimu kwa kweli ni libovu sana. limezubaa na ni kama limechoka kabla hata ya safari. leo litapata kipigo ila likijitahidi ni kutoa draw. hili ni jamno ambalo nimeona niwajulishe.

wanayanga jana niliwaambia ilikuwa tushinde 2-1 lakini kuna makosa ambayo tuliyafanya nikasema draw itawezekana na ilitokea kama ambavyo nilisema. leo tena nasema hali hii. msisite kuja nipongeza mpira ukiisha na wale mnaotaka kunitumia pesa ya shukrani kutokana na ku bet kwenu hapana hiyo kwangu ni dhambi imani hairuhusu ku bet. na kile ninachofanya si shirki maana kuna mtu aliniambia kuwa sheikh/mualim wangu huoni kama haya unayofanya ni shirki. hapana si shirki hii ni ilm kama ilm nyinginezo hapa duniyani.

As-salamu alaykum
IMG-20241215-WA0037.jpg
 
Mwamuzi keshawafanyia wepesi,,bila Rose mhando stahili ilikuwa sare sare maua
 
Mtabiri wa mchongo

Ushindi ulioitabiria Yanga ndio imeupata Simba leo
Na droo uliyoitabiria Simba ndio imeenda Yanga
 
Naendelea vyema na tabiri zangu na kuna watua mbao wananipigia kunishukuru kutokana na kufanikiwa katika kile ninachowapatia . nina ilimu ya Nyota hii nilijifunza kitambo kidogo. mara nyingi huitumia katika mambo yangu mbalimbali.

kinyota leo ni siku mbaya sana kwa Simba. na sioni kama kuna ushindi kwa sababu mbali na nyota pia hili litimu kwa kweli ni libovu sana. limezubaa na ni kama limechoka kabla hata ya safari. leo litapata kipigo ila likijitahidi ni kutoa draw. hili ni jamno ambalo nimeona niwajulishe.

wanayanga jana niliwaambia ilikuwa tushinde 2-1 lakini kuna makosa ambayo tuliyafanya nikasema draw itawezekana na ilitokea kama ambavyo nilisema. leo tena nasema hali hii. msisite kuja nipongeza mpira ukiisha na wale mnaotaka kunitumia pesa ya shukrani kutokana na ku bet kwenu hapana hiyo kwangu ni dhambi imani hairuhusu ku bet. na kile ninachofanya si shirki maana kuna mtu aliniambia kuwa sheikh/mualim wangu huoni kama haya unayofanya ni shirki. hapana si shirki hii ni ilm kama ilm nyinginezo hapa duniyani.

As-salamu alaykum
Unaendeleaje huko?
 
Wachambuzi machok
 
Back
Top Bottom