Simba kama kweli mnania nzuri mwacheni

Simba kama kweli mnania nzuri mwacheni

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
tumisikia kauli ya ramadhani singano na maelezo ya bwana mkubwa Zakaria hans pope kuna figisufigisu.
kama mnania nzuri kwa wachezaji wa kibongo mwacheni aende anakotaka kama nje au tunasikia anaenda azam.
ikiwa mtamng'ang'ania atacheza kinyonge atashindwa kucheza mpira eti mchezaji akivunja mkataba alipe bilioni moja na milioni 200 (dola laki 6)timu ikivunja mkataba atalipwa mshahara wa mwezi mmoja.kweli ni haki.
akili nyingine hazina hata adabu
 
Back
Top Bottom