Simba kama Majimaji mwaka 1999

hiram

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
266
Reaction score
393
Mwaka 1999 timu ya Majimaji ya songea ilishiriki klabu bingwa na bila kuanzia raundi ya awali, walianzia mmoja kwa moja raundi ya kwanzakwa kucheza na Al Ahly kama ambavyo simba wataanza mwaka huu.

hii ilitokana na mafanikio ya kinchi yaliyoletwa na DAR YOUNG AFRICANS mwaka wa nyuma yake 1998.


SIMBA SIYO KLABU YA KUMI!!!!
Simba ni klabu ya 15 afrika na siyo ya 10 kama wanavyodai wachambuzi maandazi na wala siyo ya 12 kama anavyodai mohamed dewji
suala la kupewa exemption kutocheza raundi ya awali ni kwa vile timu zingine zilizoizidi simba kwenye Rank hazijapata nafasi za kuwakilisha nchi zao kwenye champions league Mfano Kaizer chief haijafanikiwa kupata nafasi kwenye ligi ya afrika ya kusini ya kuiwezesha kushiriki klabu bingwa, Pyramid pia haikupata nafasi ya kwanza wala ya pili kule misri kwa hiyo haipo champions league

 
Vipi kuhusu AS Vita ?
Maana naona hapo ipo juu ya Simba na ina tiketi ya kushiriki champions league, iweje isiwepo kwenye zile timu 10 ?
 
Kwenye UKWELI pasemwe MAKOLO NI YA 9
 
Ila suala la kuwa kama majimaji Hilo linawezekana kabisaaa
 
Muwage wakweli basi mbona kuna picha simba ni ya 15 na nyingine ni ya 9 tuelewe ipi sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
kwani hii ni mara ya kwanza Simba kuanzia hatua hiyo au unajitoa ufahamu kwanini Simba inaanzia hapo. kadri muda unavyoendelea ndivyo mnavyothibitisha hamna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ