Simba kama mmekubaliana na kichapo cha Wydad msihamishie hasira Kwa Yanga

master of cities

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
429
Reaction score
625
Inashangaza sana kufungwa mfungwe nyie , timu mbovu mmerundikana nyuma tuuu , no On target hata moja , kibu D anakimbiza mpira kama nyumbu anaangalia Tu chini, wala haoni wenzake walio pembeni , hakuna attacking midfielder anayeweza kupunguza angalau wachezaji wawili ama wa tatu wa timu pinzani ili kumpa gap mshambuliaji afunge bila harassment, kipa wenu haelew hata anafanya nn , mnakosa penati Kiboya , mwisho mnatolewa na timu ambayo ipo disorganized , huku mkiprovide solid defense and zero attacking threats....

Mmekuja speed kufungua nyuzi za kujifariji , ooh hatuwadai , mara tumetoka kiume na bla bla kibao , kama haitoshi mnaanza kuishambulia Yanga , ......

Badala ya kukaa chini na kusuka upya kikosi cha magoi magoi mliyo nayo mnakuja kumshambulia mwenzenu ambaye ameshatanguliza mguu mmoja sermi final na kikombe cha ligi anachukua , .......

Haya basi tuseme nyie ndo mabingwa bas wa Champion league.... Hakunaga shujaa anayeshindwa , sasa mrudi mchunge mbuzi
 
Jana ndiyo walihitimisha safari yao ya kupata kikombe chao pekee cha msimu huu.

Baada ya jana, tutarajie kichapo kingine kutoka kwa Azam kwenye nusu fainali ya ASFC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…