LAPSE RATE
Member
- Oct 18, 2015
- 79
- 98
Kama inavojieleza hapo juu, waamuzi wa Tanzania kuna muda wanashindwa kwenda na matukio muhimu. Kijili aliwin Mpira kabla ya Ibrahim Baka, na aliguswa kutokea nyuma swala ambalo ni clear penalty.
Azam media pia walijitahidi kuficha picha za marejeo (video replay). Tukio hili sijalipenda Mimi kama mdau wa michezo na huwasishabikii timu yoyote ya Mpira wa miguu Tanzania ispokuwa National Team (Taifa Stars). Alamsiki!
Soma Pia: FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024