Simba kanyimwa penalty halali

Simba kanyimwa penalty halali

Simba nafasi waliyoiona ni hiyo tu dkk zote 90.
Hatakama wangepewa penalt tatu, kwahii Simba niliyoiona Jana sijui.
Simba Ni Kama kijana balehe anayeshindwa kula vituzz akisingizia godoro linateleza.
😃😃
 
Kama inavojieleza hapo juu, waamuzi wa Tanzania kuna muda wanashindwa kwenda na matukio muhimu. Kijili aliwin Mpira kabla ya Ibrahim Baka, na aliguswa kutokea nyuma swala ambalo ni clear penalty.

Azam media pia walijitahidi kuficha picha za marejeo (video replay). Tukio hili sijalipenda Mimi kama mdau wa michezo na huwasishabikii timu yoyote ya Mpira wa miguu Tanzania ispokuwa National Team (Taifa Stars). Alamsiki!
Amesahahu kuwa Yanga pia kanyimwa penalty, na bao moja la Pacome limekataliwa isivyo halali.

Hata hivyo nimeshavaa suti yangu kwenda harusini ambako aliyekuwa mke wa Mwaijaku anaolewa na Ali Kamwe
 
Simba nafasi waliyoiona ni hiyo tu dkk zote 90.
Hatakama wangepewa penalt tatu, kwahii Simba niliyoiona Jana sijui.
Simba Ni Kama kijana balehe anayeshindwa kula vituzz akisingizia godoro linateleza.
Aiseee
 
Watu wananyimwa unyumba hawapigi kelele, ninyi penalt vilio usiku kucha
 
Kama inavojieleza hapo juu, waamuzi wa Tanzania kuna muda wanashindwa kwenda na matukio muhimu. Kijili aliwin Mpira kabla ya Ibrahim Baka, na aliguswa kutokea nyuma swala ambalo ni clear penalty.

Azam media pia walijitahidi kuficha picha za marejeo (video replay). Tukio hili sijalipenda Mimi kama mdau wa michezo na huwasishabikii timu yoyote ya Mpira wa miguu Tanzania ispokuwa National Team (Taifa Stars). Alamsiki!
Goli la Aziz Ki, offside ilikuwa kwa mchezaji gani?
 
Na Yanga pia kanyimwa goli halali na waamuzi wenu wa mchongo..
 
Back
Top Bottom