Simba kanyimwa penalty halali

LAPSE RATE

Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
79
Reaction score
98
Kama inavojieleza hapo juu, waamuzi wa Tanzania kuna muda wanashindwa kwenda na matukio muhimu. Kijili aliwin Mpira kabla ya Ibrahim Baka, na aliguswa kutokea nyuma swala ambalo ni clear penalty.

Azam media pia walijitahidi kuficha picha za marejeo (video replay). Tukio hili sijalipenda Mimi kama mdau wa michezo na huwasishabikii timu yoyote ya Mpira wa miguu Tanzania ispokuwa National Team (Taifa Stars). Alamsiki!

Soma Pia: FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024
 

Ngoja waje. Huku ndiko uliko ule ubora wetu sasa.
 
Yashapita tugange yajayo
 
Naona inasambazwa propaganda na waandishi wa ovyo kuonekana Yanga imebebwa. Kaanza Shafii, kafuata Farhan kamalizia Oscar. Ila ukweli ni kwamba mechi ya leo laiti kama kungekuwa na VAR au waamuzi wangekuwa makini, Yanga walistahili penati 2 moja ni ya Dube na nyingine ni ya Azizi Ki. Kuna magoli mawili yamekataliwa kisa offside katika hilo ni moja ilikuwa ni goli halali kabisa. Na kuna move moja imeuliwa kwa offside want haikuwa offside. Penati ya Simba ni moja hivyo ni dhulma yanga imefanyiwa 4 Simba 1.
 
Simba nafasi waliyoiona ni hiyo tu dkk zote 90.
Hatakama wangepewa penalt tatu, kwahii Simba niliyoiona Jana sijui.
Simba Ni Kama kijana balehe anayeshindwa kula vituzz akisingizia godoro linateleza.
 
Pia Azizi ki kakataliwa goli lingekubaliwa hicho kitu kisingetokea coz pattern ya mchezo ingebadilika yaan mpira ungeiletwa kati na kuanzishwa upya huku yanga ikiongiza kwa goal mbili
 
Hakuk
Hii ingebadilisha Kila kitu hata hiyo penalty wanayodai isingelitokea coz mpira ungekuwa kati au mda huo wangekuwa wanashangilia yanga
Refa aliamua ku balance kwakua uo mpira ambao ungekua Penalty Mchezaji wa Simba Freddy koblan alifanikiwa ku upiga kichwa wakati ametumia mikono kupanda mabegani kwa Ibrahim Bacca.

kwaiyo ilitakiwa iwe faul kabla mpira haujamfikia Kelvin kijiri.
 
Pia Azizi ki kakataliwa goli lingekubaliwa hicho kitu kisingetokea coz pattern ya mchezo ingebadilika yaan mpira ungeiletwa kati na kuanzishwa upya huku yanga ikiongiza kwa goal mbili
Ndiyo maana nalaumu hawa marefa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…