LAPSE RATE
Member
- Oct 18, 2015
- 79
- 98
- Thread starter
-
- #21
ππSimba nafasi waliyoiona ni hiyo tu dkk zote 90.
Hatakama wangepewa penalt tatu, kwahii Simba niliyoiona Jana sijui.
Simba Ni Kama kijana balehe anayeshindwa kula vituzz akisingizia godoro linateleza.
Mimi leo sikufurahia maamuzi kwakweliNilishaacha kufuatilia mpira wa bongo huu mwaka wa 2. Nimekataa kuwa shabiki mtumwa
Ila ushindi umeufurahia.Mimi leo sikufurahia maamuzi kwakweli
Amesahahu kuwa Yanga pia kanyimwa penalty, na bao moja la Pacome limekataliwa isivyo halali.Kama inavojieleza hapo juu, waamuzi wa Tanzania kuna muda wanashindwa kwenda na matukio muhimu. Kijili aliwin Mpira kabla ya Ibrahim Baka, na aliguswa kutokea nyuma swala ambalo ni clear penalty.
Azam media pia walijitahidi kuficha picha za marejeo (video replay). Tukio hili sijalipenda Mimi kama mdau wa michezo na huwasishabikii timu yoyote ya Mpira wa miguu Tanzania ispokuwa National Team (Taifa Stars). Alamsiki!
AiseeeSimba nafasi waliyoiona ni hiyo tu dkk zote 90.
Hatakama wangepewa penalt tatu, kwahii Simba niliyoiona Jana sijui.
Simba Ni Kama kijana balehe anayeshindwa kula vituzz akisingizia godoro linateleza.
Goli la Aziz Ki, offside ilikuwa kwa mchezaji gani?Kama inavojieleza hapo juu, waamuzi wa Tanzania kuna muda wanashindwa kwenda na matukio muhimu. Kijili aliwin Mpira kabla ya Ibrahim Baka, na aliguswa kutokea nyuma swala ambalo ni clear penalty.
Azam media pia walijitahidi kuficha picha za marejeo (video replay). Tukio hili sijalipenda Mimi kama mdau wa michezo na huwasishabikii timu yoyote ya Mpira wa miguu Tanzania ispokuwa National Team (Taifa Stars). Alamsiki!
AseSawa shabiki kiazi