zawadi special
JF-Expert Member
- Sep 30, 2026
- 211
- 247
Yanga Bingwa.Habari zenu,kiukweli hili mechi ni kama imeisha tu,sioni simba akishida kivyovyote vile,nasema hivi kwasababu naona siasa imeingia,
Na ukizingatia yanga ina watu wazito serikalini,suala la uwanja suala la tiketi.kuna mauzauza mengi sana kwenye soka la mbogo,hizi mechi zinachezwa nje uwanja sana na wamezidiwa pakubwa nje ya uwanja,kuna kauli Manara alitoaga alisema simba kuchukua ubingwa hadi mwaka 2030.
Hakusema kwa bahati mbaya kuna kitu anajua,mashabiki wa simba kesho mjiandae kwa maumivu mengine alamski.
Toa ahadi kabisa ili tujue imekaaje.Habari zenu,kiukweli hili mechi ni kama imeisha tu,sioni simba akishida kivyovyote vile,nasema hivi kwasababu naona siasa imeingia,
Na ukizingatia yanga ina watu wazito serikalini,suala la uwanja suala la tiketi.kuna mauzauza mengi sana kwenye soka la mbogo,hizi mechi zinachezwa nje uwanja sana na wamezidiwa pakubwa nje ya uwanja,kuna kauli Manara alitoaga alisema simba kuchukua ubingwa hadi mwaka 2030.
Hakusema kwa bahati mbaya kuna kitu anajua,mashabiki wa simba kesho mjiandae kwa maumivu mengine alamski.
Mazingira bro,nje ya uwanja simba weupe.n.b mimi simba lakini kuna yanayoendelea nje yanakatisha tamaa.Toa ahadi kabisa ili tujue imekaaje.
Hadi 2030 huko ndo furaha itarudi,ni mwendo wa maumivu tu.Refa ni Arajiga, baaasi kuna nini tena??
Simba kwishaaaaaa! Ila yana mwisho haya.
Wakati wao huu.
Kama Arajiga ndiyo refarii tujiandae na kauli ya "MAKOSA YA KIBINADAMU" na hatuna la kumfanya.Mazingira bro,nje ya uwanja simba weupe.n.b mimi simba lakini kuna yanayoendelea nje yanakatisha tamaa.
Inawezekana lakini siyo rahisi.Je akitoboa?
Kabisa sisi tumeshikilia makali wao mpiniKama Arajiga ndiyo refarii tujiandae na kauli ya "MAKOSA YA KIBINADAMU" na hatuna la kumfanya.
Amka ni saa kumi sahihi.Mimi nimeota yanga amekufa goli tano
Shua mzee tena sio leo ni siku mbili zilizopitaAmka ni saa kumi sahihi.
Ngoja tuone.Shua mzee tena sio leo ni siku mbili zilizopita