Simba kesho naomba mtoe draw tu

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Jamani kwa kikosi hiki kibovu walichonacho Makolos SC leo SAA 1 usiku naiomba draw tu match dhidi ya Namungo.

Namungo nipeni raha jamani, kama hotel nzuri tumeshawalipia tayari tena ni Serena Hotel ili yule mjinga wao Mwijaku azidi kusema kuwa tunawahujumu kumbe sasa hawana ngoma kwenye game.

Draw ya 0 - 0 tu inanitosha jamani Namungo yangu.
 
Raia namba 4 hapa nchini ameshaongea na Namungo waseme wanataka ngapi ili wasiikazie Simba yake.
 
Simba wakitoa droo na mechi ya leo nitashauri wahamishe uwanja wa nyumbani na wabadili kamati ya mikakati ya ushindi kikiwemo kitengo kinachoshughulika na suala zima la intelejensia na usalama wa club!

Tusibakie kusema tu kwamba tunahujumiwa ilihali hatuchukuwi hatua kukabiliana na mazingira ya hujuma hizo!
 
Hata kama tukifungwa nyie MBWA hambebi ubingwa mwaka huu.
Mwaka huu sahau hyo Mr.. Sisi yanga kama kufungwa mwaka huu hatuwezi kufungwa match zaidi 2 na kama kudraw hatuwezi kudraw match zaidi ya 3.. Sasa kwa mahesabu hayo tu ubingwa tushachukuwa Tayar.

Mwaka huu mtabaki kupengapenga tu makamasi pepepepepepepeee.
 
Na tunawakumbusha msimu huu hauna mechi 40 ila ni mechi 31 tu na mzunguko wa kwanza una mechi 15 na mpaka sasa zimechezwa 5 na zimebaki 10
 
Ni kawaida hakuna shabiki wa Yanga anayeza kuiombea mema simba, kadhalika shabiki wa simba hawezi kuiombea mema yanga.

Simba Nguvu moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…