Simba Kesho wana Jambo lao Kubwa zaidi kuliko Leo

Simba Kesho wana Jambo lao Kubwa zaidi kuliko Leo

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Screenshot_20200815-200216.png
Mwendo ni Bandika Bandua,

Kifupi hatusajili kwa ajili ya kushindana na Yanga, maana sio level yetu, tumeshaiacha mbali.

Wale wa Vidonge Vya Presha kama kawa msisahau kesho kukaa na vidonge vyenu karibu. Kama vimeisha nunueni kabisa. Na Ikiwezekana itaneni kabisa muulizane kesho ni nani ili mujaribu kuzuia.
 
Aisee !!
Update ni saa ngapi mkuu tutegemee kuwahuzunisha watani aka [emoji196][emoji196][emoji196] au kama walivopendekezwa kitaalamu kuwa wao ni [emoji204][emoji204][emoji204][emoji205][emoji205][emoji205][emoji1664][emoji1664][emoji1664]
 
Hivi simba tulikuwa tunamuhitaji sana huyu larry bwalya, labda kama kocha ndio kataka, mie naona hizi sajili nyingine za kuikomoa yanga haxina umuhimu, jamaa katoka power dynamos msimu uliopita tu walikamata nafasi ya 7, national team hana namba ya uhakika, toka 2018 mpaka leo kacheza game 3 tu

Nimemtizma vizuri naona jamaa ni kama kahata tu, mpaka sasa kahata hatujamtumia vizuri anaishia kucheza winga, ama wanataka kumuacha kahata!? Maana kwa formation ile maridhawa ya yule mwalimu 4-3-3(pivot) wakabaji wawili chama anakuwa free kahata hajapata namba, ama ticha anataka kuachwa,

ni wakati wa simba kusajili kwa mipango yakinifu, tumesajili morrison, usajili amabao kwangu mimi naupinga.
 
Unaepinga Usajili Wa Morison Umeombwa Mchango Wausajili? Ushabiki Wakijuaji Tuachage Mazee
 
Malizeni basi ayo majambo yenu ma sisi utopolo tuanze majambo yetu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi simba tulikuwa tunamuhitaji sana huyu larry bwalya, labda kama kocha ndio kataka, mie naona hizi sajili nyingine za kuikomoa yanga haxina umuhimu, jamaa katoka power dynamos msimu uliopita tu walikamata nafasi ya 7, national team hana namba ya uhakika, toka 2018 mpaka leo kacheza game 3 tu...
Hiv ukimtoa chama pale Simba Nani anaweza kuziba nafasi yake?Huyo jamaa Ni kwaajili ya kuongeza quality na depth kwenye squad
 
Hivi simba tulikuwa tunamuhitaji sana huyu larry bwalya, labda kama kocha ndio kataka, mie naona hizi sajili nyingine za kuikomoa yanga haxina umuhimu, jamaa katoka power dynamos msimu uliopita tu walikamata nafasi ya 7, national team hana namba ya uhakika, toka 2018 mpaka leo kacheza game 3 tu..
Sio lazma wote wacheze mzee, kikosi kipana unajua maana yake? Anayetoka moto anayeingia moto, makombe mengi kuna ACL, PL, FA na yote tunayataka
 
Back
Top Bottom