Hivi simba tulikuwa tunamuhitaji sana huyu larry bwalya, labda kama kocha ndio kataka, mie naona hizi sajili nyingine za kuikomoa yanga haxina umuhimu, jamaa katoka power dynamos msimu uliopita tu walikamata nafasi ya 7, national team hana namba ya uhakika, toka 2018 mpaka leo kacheza game 3 tu
Nimemtizma vizuri naona jamaa ni kama kahata tu, mpaka sasa kahata hatujamtumia vizuri anaishia kucheza winga, ama wanataka kumuacha kahata!? Maana kwa formation ile maridhawa ya yule mwalimu 4-3-3(pivot) wakabaji wawili chama anakuwa free kahata hajapata namba, ama ticha anataka kuachwa,
ni wakati wa simba kusajili kwa mipango yakinifu, tumesajili morrison, usajili amabao kwangu mimi naupinga.