Simba Kidume:Yanga amekula kichapo mechi nne mfululizo

Simba Kidume:Yanga amekula kichapo mechi nne mfululizo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Goli la Kichuya lililotungiwa wimbo

Simba 1- Yanga 1, Octoba 2016 VPL

Simba 4- Yanga 2, Januari 2017 Mapinduzi Cup

Simba 2-Yanga 1, Februari 2017 VPL

Simba 5- Yanga 4, Agost 2017,Ngao ya Hisani

Utabiri wa Kesho
Simba 2- Yanga 0
Wafungaji:Kati ya Okwi,Mavugo na Kichuya
 
Simba mnajidanganya..toka 2012 ubingwa mnauota..ndio maana timu ndogo zikicheza na Simba wanaona w"wenzao"ila wakicheza na Yanga wanakaza wanajuwa wanacheza na mabingwa..nyambafu kumbe mmesajili kwa 1.8 billions
 
Yanga 0 Vs KMC 0

Yanga 0 : Rhino 0
 
Back
Top Bottom