Tetesi: Simba Kikosi cha Mapinduzi Kucheza Kesho na Dodoma Jiji

Tetesi: Simba Kikosi cha Mapinduzi Kucheza Kesho na Dodoma Jiji

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Binafsi imeniuma sana kusikia Chama, Onyango, Mzamiru, Kanoute, Ntibazonkiza, Sakho hawatakuwepo kesho. Hii ina Maana kwamba Kikosi cha mapinduzi ya Zanziba; Ndio watacheza kesho

Sababu Sijajua ni nini hasa. Pili bado wachezaji muhimu Kama Phiri, Inonga, Banda bado hawajapona rasmi

Tusitegemee ushindi kesho
 
Shida li mvua la jana nahisi uwanja utakua umetengeneza vi pot holes
 
Wananchi wote tuko upande wa Dodoma Jiji. Kila la heri kwao. Wanaotaka kununa, na wanune tu. Ila ukweli ndiyo huo.
 
Binafsi imeniuma sana kusikia Chama, Onyango, Mzamiru, Kanoute, Ntibazonkiza, Sakho hawatakuwepo kesho. Hii ina Maana kwamba Kikosi cha mapinduzi ya Zanziba; Ndio watacheza kesho

Sababu Sijajua ni nini hasa. Pili bado wachezaji muhimu Kama Phiri, Inonga, Banda bado hawajapona rasmi

Tusitegemee ushindi kesho
Banda nae kawa wa muhimu tangu lini
 
Timu imeongeza wachezaji watatu na wote hawajaonekana. Ndo nafasi yao kesho kuonyesha umuhimu wao.
 
Watajijua wenyewe sisi shida yetu wazidi kuangusha points ili sisi tuzidi kuchekelea pale juu ya msimamo.
 
Back
Top Bottom