Aziz I,
Bangala
Fei toto
Morison
Aucho
Timu bado ilikuwa inapata matokeo
Kwani hakuna mechi ambazo Mayele hakuwepo na timu ikapata matokeo?Hawa wa akawaida, Ndio Maana. Labda useme akosekane Mayele
Yani ametamka ile ki native kabisa yani ile ya ndaniiiiii 😆 😆 😆Ntibazongiza asipokuepo sawa tu sisi shida yetu ni ntibazonkiza
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Bila shaka hii ni njemba tokea kigoma hiiYani ametamka ile ki native kabisa yani ile ya ndaniiiiii [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Naona mnavyotafuta visingizio [emoji41]Shida li mvua la jana nahisi uwanja utakua umetengeneza vi pot holes
Tutashinda tuu mkuu..
Banda nae kawa wa muhimu tangu liniBinafsi imeniuma sana kusikia Chama, Onyango, Mzamiru, Kanoute, Ntibazonkiza, Sakho hawatakuwepo kesho. Hii ina Maana kwamba Kikosi cha mapinduzi ya Zanziba; Ndio watacheza kesho
Sababu Sijajua ni nini hasa. Pili bado wachezaji muhimu Kama Phiri, Inonga, Banda bado hawajapona rasmi
Tusitegemee ushindi kesho
Matokeo ganiKwani hakuna mechi ambazo Mayele hakuwepo na timu ikapata matokeo?