Tetesi: Simba Kikosi cha Mapinduzi Kucheza Kesho na Dodoma Jiji

Mlisajiri wachezaji wangapi kwenye timu? Mmesajiri wachezaji 30 na wanaokosekana ni 8 sasa hao wengine sio wachezaji au
 
Acha woga wewe afu tuliza kipwinto kwanza..... Simba tayari inamaingizo matatu mapya ko unavyodhani wewe timu itapambana kama ilivyokua kule Zenji siyo?! hahahaa yani ulivyoyaona matokeo yale ya Zenji ndo yalipaswa kua vile hayo ya game ya kesho ni mengine kabisa....
 
Dom jiji wawe makini na hiz psyche games, wakileweshwa huu utumbo watapgwa nyingi mno hawataamini, mambo ya nje ya uwanja yamekuwa mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…