Simba Kila jambo wanashangaa

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
MIKIA kila jambo wao wanaona jipya! Wakimataifa, wababe wa soka nchini tushaujaza uwanja wa Taifa mara kibao, tushacheza group stage michuano inayoandaliwa na CAF, Kila hatua ama jambo mnaloliona ni kubwa kimafanikio basi tambueni Yanga tumefanya na tutaendelea kufanya.

Jambo mlilotuzidi na katika hilo lazima tuwape hongera ni mfumo wa uendeshaji wa klabu yenu . . Nasi tunajisogeza taratibu tukifanikiwa tutawazidi vitu vingi japo mmekuwa wa kwanza kufanya mabadiliko!

HII NDIO YANGA TIMU YA WANANCHI, NGUVU YA UMMA!
 
Stress on work!!
 
Churaaa umepaniq!

Kanywe maji tuliza tako
 
Mkuu unateseka. Ingekuwa mimi nisingekumbusha eti tulicheza makundi!!!
Mliweka rekodi ya kufungwa goli 6 bila hata kushinda mechi moja.
Unaweka picha mkicheza na Simba!!Au ile mliyoingia bure na bado mkafungwa na Mazembe?
Vipi umehamia timu gani?Baada ya waya za spika kuchomolewa jumapili?
Hivi Nkana ndio wale au kuna wengine?
Safari ya Mbeya linatembezwa bakuli .Hizo bando unazotumia hapa kuandika ujinga ungetumia hizo pesa kuchangia timu yako.
 
Nakazia yote uliyoyasema na kuuliza
 
Hii ahsante manji walienda hadi wasio enda vuta picha simba wamelipa kiingilio na wamefurika hivyo ingekuwa bure si watu wangezuia hadi daraja la mfugale mkuu

Kubali tu simba ni timu ya watu
 
Kama upo moshi njo hapa tanzanite [emoji23][emoji23] ugonge vyombo
 
Mbutembute fc mnashida sana...hebu nipe ile namba yenu ya kapu, niwadundulizie buku tatu, otherwise nainywa windhoek sasa hivi...
 
Hii ahsante manji walienda hadi wasio enda vuta picha simba wamelipa kiingilio na wamefurika hivyo ingekuwa bure si watu wangezuia hadi daraja la mfugale mkuu

Kubali tu simba ni timu ya watu
Simba ni timu ya watu? Unamaanisha nn? Kwamba Simba ina watu kuliko Yanga itakuwa kujidanganya mkuu...
 
Mbutembute fc mnashida sana...hebu nipe ile namba yenu ya kapu, niwadundulizie buku tatu, otherwise nainywa windhoek sasa hivi...
unayo hiyo hiyo halafu unasema utupe,wakati naww jua kali
 
unayo hiyo hiyo halafu unasema utupe,wakati naww jua kali
Kwanza nilikuwa nakutania tu, hata buku sina ni kweli nimepauka mbaya na hili jua!
...na mie nitaleta bakula pale bwawani mnichangie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…