Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
MIKIA kila jambo wao wanaona jipya! Wakimataifa, wababe wa soka nchini tushaujaza uwanja wa Taifa mara kibao, tushacheza group stage michuano inayoandaliwa na CAF, Kila hatua ama jambo mnaloliona ni kubwa kimafanikio basi tambueni Yanga tumefanya na tutaendelea kufanya.
Jambo mlilotuzidi na katika hilo lazima tuwape hongera ni mfumo wa uendeshaji wa klabu yenu . . Nasi tunajisogeza taratibu tukifanikiwa tutawazidi vitu vingi japo mmekuwa wa kwanza kufanya mabadiliko!
HII NDIO YANGA TIMU YA WANANCHI, NGUVU YA UMMA!