Simba Kila jambo wanashangaa

Mwalimu wako alikuwa ana kazi ngumu sana.Seedings za timu ndizo zinaamua Pot.
Pot haina maana timu zimeshagawanywa kwenye makundi hayo bali ndio zitasaidia kwenye draw siku ya Ijumaa tarehe 28/12/2018.
 
Mwalimu wako alikuwa ana kazi ngumu sana.Seedings za timu ndizo zinaamua Pot.
Pot haina maana timu zimeshagawanywa kwenye makundi hayo bali ndio zitasaidia kwenye draw siku ya Ijumaa tarehe 28/12/2018.
Hizo pots tayari na kila timu ina points zake. Kwa wenye nazo. Wengine ni zero points kwenye seeding.
 
Nilidhani nimeona vitu vyote 2018, lakini hii ni funga mwaka...
Mbutembute fc mmekuja na father christmas wa kijani,...
Huyo atakuwa father christmas mtembeza bakuli!
 
Wakati Yanga inashiriki CAF Championship, groups stage zilikuwa team 8. Kwa hiyo ilikuwa lazima kuzitoa team tatu kufikia hatua hiyo. Sasa hivi groups stage ni team 16. Unahitaji kuzitoa team mbili tu kufikia hatua hiyo.
Note the difference.
 
Kakini hata huo mfumo mpya ea uendeshaji yanga ili wekewa zengwe tu halafu rekodi ya kuteremshwa daraja miaka ya themanini mpaka kuokolewa kwa amri ya marehemu waziri Machunda mbona msemaji wa mafisi fc haiongelei au kaisahau ?
 
Relax bwana mdogo, hoja hapo ni fr.christmas wa kijani, kwa nini mnaharibu icon original?
...mngetengeneza christmas tree tu!
Dah una uhakika mimi Bwana mdogo kwako?
 
Mmechaza fainiali yoyote ya caf?
Mmeuza mchejazi yoyote kutoka yanga kwenda timu kubwa kama samatta na ochan kwa mazembe, okwi kwa etoile du sahel, renatus njohole ,kapombe kwa metz, henry joseph kwa gelfe , matola kwa supersport united , ???? Nijibu
 
Hata Simba alivyofuzu mwaka 2003, alikuwa jamvi LA wageni, kila time kwenye kundi lake alikuwa anajibandulia kiasi abachotaka basi. Kwa hiyo tusiwapoteshe watu hapa, huo ndiyo ukweli.
Jamaa muongo simba kwenye kundi alimaliza watatu na hakufungwa hapa tanzania alishinda 2 droo moja na mkundi ya likuwa ni 2 tu mfumo wa timu 16 umeanza mwaka juzi
 
Nakumbuka ulikuwa kundi moja na Enyimba, hebu tukumbushe alikubanjua ngapi kwao, na hapa nyumbani, tuanzie hapo
Kwao walishinda 3 kwa 1 ... na hapa tuliwapiga 2 kwa 1
 
Dah una uhakika mimi Bwana mdogo kwako?
Mbona umepandisha povu?
Basi kama wewe si Bwana mdogo, acha tuendelee kukuita gongowazi au mbutembute!
Lipi unapendelea zaidi?
 
Nakumbuka ulikuwa kundi moja na Enyimba, hebu tukumbushe alikubanjua ngapi kwao, na hapa nyumbani, tuanzie hapo
Yanga hajawahi kushinda mechi kwenye makundi
 
Mbona umeweka picha ya jukwaa la yanga tu?
Simba hujaza uwanja mzima sio sehemu ya yanga tu. Na hii hutokea hata simba day. Yanga hujaza uwanja ikicheza na Simba.
 
1998 siyo kama 2003 mkuu. 1998 ilikuwa name bora, na 2003 ilikuwa 16 bora, hivyo hatuwezi linganisha, maana mshiriki was 1998 alikuwa level ya juu ukilingsnisha na mshiriki was 2003, au na hapa unabisha mkuu.
Hivi ukiwa na timu nne ktk mashindano na ukiwa na timu 8 ktk mashindano yenye timu nne ina ushindani sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…